Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,699
- 6,825
- Thread starter
- #61
Akili ipi iyo mkuu!Wanawake ni wa kuishi nao kwa akili mkuu... Hat kwenye vitabu vya dini imeandikwa hivyo!
npe maujuzi hapo
Akili ipi iyo mkuu!Wanawake ni wa kuishi nao kwa akili mkuu... Hat kwenye vitabu vya dini imeandikwa hivyo!
Akili ipi iyo mkuu!
npe maujuzi hapo
Pamoja sana mkuu nimekuelewa!Kwa kuwa umeshajua kuwa mkeo yupo hivyo yakupasa umwambie kwanza hiyo tabia huipendi ili ajue usiwe unaumia rohoni utakufa kabla ya siku zako[emoji16][emoji16][emoji16]
Pili kama hana kazi unaweza kumtafutia shughuli yeyote itayomweka busy
Huyo ni mkeo yakupasa kumuweka sawa kwa kumuambia vitu ambavyo huvipendi pamoja na tabia yake hiyo na umeambie ajirikebishe asitoe siri ya kambi
Lastly kwakuwa ushajua tabia yake ni vizur baadhi siri usimwambie mpaka hapo utakapo rekebishika
Duuuh pole, mafundisho ya ndoa aliyazingatia kweli? Maneno ya mashangazi na akina bibi nayo pia yalipita buree? Hiyo si tabia ya mwanamke aliye kwenye ndoa. Kwanza ndoani kulivyo na mambo mengi utasema mangapi??!!!! Mkanye au mweleze msimamizi wake wa ndoa huenda akamuelewa! Au laa mtumie bi mkubwa yeyote mwenye busara zake amkanye juu ya tabia hiyo huenda atabadilika!!Mke wa ndoa ya kanisa kabisa
Asante sana hili swala lazima aambiwe leo tu kabla sijaanza mwaka mpyaPole sana mkuu.
Watu wengine wanakulaumu tu lakini kuna mambo ukiwa nayo moyoni yanaumiza hivo lazima utafute mtu wa karibu wa kumwambia ambae anaweza kupa faraja na mawazo ya kutatua hill tatizo.
Shida inakuja unapokosea unampa mtu unayemwamini halafu yeye anaanza kusambaza.
Huyo mkeo ni ubavu wako hivyo mrekebishe mapema kabla mambo hajaharibika.
Kama yupo tu nyumbani na anapenda kuzurura na mashosti mkanye na mtafutie kitu cha kumfanya akose muda wa kukaa na kupiga soga.
Mfungulie biashara ila isiwe hapo hapo mtaani mana utakuwa hujatatua tatizo mfungulie mbali kidogo ili awe anatoka anarudi jioni.
Pia unaweza kumkalisha chini ukamwonya juu ya hiyo tabia asipobadilika mshirikishe mzazi wake wa kike au yeyote yule unaejua anamheshimu sana
Sawa mkuu atanyooka tuNi huyo wako tu mkuu,
Thibiti kabisa huyo!Mimi kuna mke wa jamaa yangu ni mmbea dunia nzima sijawahi kuona.anajitahidi sana kumzoea mke wangu ila nimedhibiti maana hafai.sijuwi wanawake wengine wakoje.