Pole, wako wanaume na wanawake wasiojua kuhifadhi vitu jaribu kukaa nae mwambie aache hiyo tabia Kama msikivu ataacha kama cyo ataendelea tu kuhusu kumficha mambo c vizur wanandoa wanapaswa kuweka waz mambo yao kat yao ili kupeana ushirikiano, poleMke wa ndoa ya kanisa kabisa
Vp wakwako ushamtatua teyari?Mtatue rinda aende akatangaze
kama kawaida yako .....!!!Kuna jamaa alinipa story, mke wake yeye haweki siri za mashost pia, sikumoja anarudi nyumbani anakuta wife yuko katikati ya kisuto, alifukuza genge lote akamchukua mke wake wakaingia ndani.
Hongera sana mkuuPole sana mkuu me nafikiri ungenipongeza Mimi baada ya Kuchukua uamuzi wa kuoa bubu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We mwenyewe huna siri unaanzaje kusema siri za mwenzio hapa kuwa hana siri
Siku nyingi sn...unataka nije kumtatua na wako?!Vp wakwako ushamtatua teyari?
Masaa 12Wanasema mwanamke anaweza kutunza siri kwa muda gani vileeee!!! Kwahiyo akiitoa sio kosa lake bali ni muda wa kuitunza umeisha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
wewe mwenyewe umeshindwa kutunza siri za familia yako ukamshirikisha,yeye atashindwaje kuzitoa?pia anaonekana hana kazi,mpeleke clouds ukamuombee kazi awe msaidizi wa soud brown kwenye GOSSIP COP!Habari zenu wakuu, natumaini mwaka unaisha vizuri kwa wanaomaliza tofauti basi pole iwafikie!
Najitokeza hapa tuweze kushirikiana kwa pamoja nijue ni kwa mwanamke wangu tu au ni tabia za wanawake wengine wote, maana imekua kero sasa hii yaani kitu unamshirikisha mtu wako wa karibu na unamwamini tena unamwambia yeye pekee lakini azipiti ata siku mbili tatu hayo maneno unayakuta ofisini kwako, mtaani na kwa mashost zake ndio usiuulize kabisa!
Juzi kati hapa nilipatwa na habari si njema sana za kifamilia nyumbani kwetu basi nikaona vyema nimshirikishe mwenzangu lakini sasa habari zimeenea kila kona naulizwa![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hivi mungu aliwapa ubongo gani nyie wanawake hata siri tu kukaa na jambo moyoni inakua ngumu kweli?
kwa hali hii ukute anawasimuliaga kila kitu jinsi navyomgeuza kila siku.
Niwatakie heri ya mwaka mpya wakuu JF
Nani kasema mke wangu hana kazi?wewe mwenyewe umeshindwa kutunza siri za familia yako ukamshirikisha,yeye atashindwaje kuzitoa?pia anaonekana hana kazi,mpeleke clouds ukamuombee kazi awe msaidizi wa soud brown kwenye GOSSIP COP!
tofautisha skendo na sirimwanamke anaweza akiwezeshwa,umemwezesha kupata skendo afanye nn sasa
Uyo alipitiliza sasa!Hahaha huu ni ukwel kabisa, kuna mke wa kaka yangu fulani alikuwa anasimulia mambo ya familia yake hadi kwenye vikao vya harusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]