Mwanamke wangu anataka kuniacha baada ya kuona sina mwelekeo wa maisha

The truth ni chuki ndio mana umepanic kwan wote walochangia huu uzi hawapendi mtu afanikiwe then milion6 haikutajwa hapa kama anapewa inakua yake sina utajiri huo kwa sasa ni kama agreement ya kuingia patnership namm kama ana wazo ambalo analiamini anafnye kazi anipe yngu achkue yake mwezi wa nane ukifka atakua amepata chochote ananirudishia mtaji wangu ndio mana nikataja neno KUKUAMINI

Anyway 25K kama yupo tayari nipo tayari kumpa hata sasa hivi direct from bank to his account but hiyo njia inasoma detail zngu kwake na mtu cmjui anitafute kesho kwa mda wake apokee kwa wakala ni tatizo dogo tu hilo kwenye uhitaj

Sent using Jamii Forums mobile app
Also hakuna mtu anaweza kunifanya ni-panick my dear. Mimi ni mtu natoa ushauri sana mambo ya fedha, biashara nk. Sababu ndio nimebobea huko. Kwa hio nikiona kitu cha kusema au kuchangia, I do that. After all, this is JF.
 
The truth ni chuki ndio mana umepanic kwan wote walochangia huu uzi hawapendi mtu afanikiwe then milion6 haikutajwa hapa kama anapewa inakua yake sina utajiri huo kwa sasa ni kama agreement ya kuingia patnership namm kama ana wazo ambalo analiamini anafnye kazi anipe yngu achkue yake mwezi wa nane ukifka atakua amepata chochote ananirudishia mtaji wangu ndio mana nikataja neno KUKUAMINI

Anyway 25K kama yupo tayari nipo tayari kumpa hata sasa hivi direct from bank to his account but hiyo njia inasoma detail zngu kwake na mtu cmjui anitafute kesho kwa mda wake apokee kwa wakala ni tatizo dogo tu hilo kwenye uhitaj

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitume hiyo pesa. mawazo tu yanamtosha kumsaidia kumuweka sawa kiakili na hata kama una idea au deal itamtoa kutoka hali moja kwenda nyengine.

muhusika shida yake sio pesa, anahihitaji mchango wako wa mawazo ili aweze kujikwamua. Umefanya vizuri kuonyesha utayari wa kumsaidia "big up"

Mfundishe mtu kuvua samaki, lkn usimpe samaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The truth ni chuki ndio mana umepanic kwan wote walochangia huu uzi hawapendi mtu afanikiwe then milion6 haikutajwa hapa kama anapewa inakua yake sina utajiri huo kwa sasa ni kama agreement ya kuingia patnership namm kama ana wazo ambalo analiamini anafnye kazi anipe yngu achkue yake mwezi wa nane ukifka atakua amepata chochote ananirudishia mtaji wangu ndio mana nikataja neno KUKUAMINI

Anyway 25K kama yupo tayari nipo tayari kumpa hata sasa hivi direct from bank to his account but hiyo njia inasoma detail zngu kwake na mtu cmjui anitafute kesho kwa mda wake apokee kwa wakala ni tatizo dogo tu hilo kwenye uhitaj

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bibie 25k per day as your profit ni kubwa kwa biashara mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaniona nina chuki, lakini hakuna mtu anapenda watu wafanikiwe kama mimi. Yani ushauri wangu, wala usimpe 6 million tshs. Mtumie hata tu 25,000 shs. Yuko na stress, and it seems you care sana kumsaidia financially. Mtumie hata 25k tu akule hata kitu anapenda leo labda stress itapungua. I know you can afford.

Huwa mimi sitoi ahadi. Kama ni pesa, nahakiki iko tayari kisha namsaidia tu mtu moja kwa moja. It is better that way. Otherwise, ni kumsaidia mtu kwa namna nyingine.
Ila nawe mkuu unapenda sana league, si uache tu. Kwanini unamshauri mtu kwenye pesa yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nawe mkuu unapenda sana league, si uache tu. Kwanini unamshauri mtu kwenye pesa yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu mimi mwenyewe nilifanya makosa mengi sana ya kifedha. Na ninatamani kipindi hicho pangekuwa na watu wakali kabisa wa kunishauri. Nilizungukwa na Yes Men tu. Japo baadaye nilimudu mambo, lakini nilichezea sana fursa miaka fulani ya hapo mwanzo na hakuna ushauri wowote mtu alitoa hadi mambo yalipokuja kuharibika kabisa
 
Hta mm ningekwambia ivyo
Ndugu zangu wana JF kijana wenu nipo kwenye stress zone kwani mpaka nimeshapoteza mwelekeo wa maisha. Mambo yangu magumu sana!

Na mpenzi wangu kaniambia mpaka ukifika mwezi wa nane akiona hanielewi basi ataomba tu tuachane aendelee na maisha yake. Ameshachoka kusikia ahadi hewa toka kwangu kwani yeye mwenyewe umri umeenda na anahitaji maisha bora.

Naombeni ushauri katika hili ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sabbu najua mapenzi ni matamu ila yanauma na maisha ni magumu klko inavofkiriwa hali ya kuishi bila kazi na ukiwa huna msaada na ukawa na mapenzi yanakusumbua bac maisha yako yanakua magumu mfno hai mm nimegraduate mwaka jana nina kikazi changu na videal vyangu kwa ajili ya kujikwamua hlfu shemeji yako mtoto wa kiume bdo hana kazi hana mtaji ninachopata mm naweka akiba yngu na namgaia nayy chochote ( sio kwa mapenzi kwasabbu naijua hali ya kuish na njaa nimekua bila wazaz so natoa km part ya msaada tu na nafnya hivyo kwa yyte ninaemuona ana shida) hii option niliorecommend kwa huyu jamaa imemshinda yy na yeye ilkua km ananikopa bank tu ctak return yyte kaz yake ni kucmamia mtaji na kupata chochote akishapata mtaj unarud kwngu anabaki na faida yake na ckumpa limit ya mda ila amehsindwa licha ya kua anajua cwez kumlipisha mtaji hata ukipotea wote naelewa ndio biashara sasa inabidi nipate mtu mwengne ambae ana shida atumie mtaj kwa uchungu na mapenz nifaidke mm nayy yeye toka jana namfkiria vitu mbali mbali

Kua he doesn’t love me kwaio anaona kikwazo kufnya vitu vya msingi na mm ingawa hii ni pesa na ni faida kwake

Ana mipango yake mengine

Hataki kujiona amepata chochote kwa kupitia mkono wngu mm ila namsaidia km msaada kwa vitu vingi tu now 2 months ameshindwa kufnya chochote cha maana hata saving yyte hana na km anayo anacheza na akili yngu Coz amenizoea sana na anajua moyo wngu ulivo wa msaada

Utoto bdo haujaishaisha kwake sisi sote ni wa 96 amekulia kwa shida nimekulia kwenye matzo ya kifamilia so nikatanua akili yngu mapema kujitegemea naweza kusema najitambua

Nafkiria kitu kimoja tu kwake kuendelea na maisha yangu apambane kivyake km wa kwngu atabak kua wngu km haikupangwa kila mtu atashika hamsin zake na siwaz hili kua hana maisha Coz u never know tomorrow na cmtegemei yy kwa shida hata ya voucher ila namuona bado akili yake haipo kwenye kupambana

Kwa kweli mda utakuja kumuambia

Sasa na huyo jamaa akipata msaada bibie anaweza kumtuliza km ni mwanamke wa kutulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah hivi wanawakw waa aina yako mko nchii hii kweli??ningepata demu kama wewe leo labda tungekuwa tunaongea habari nyingine kabisa ya kuwa milionea aise ndo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma every comment kweny thread hii!!aise michango ya kina dada humu 99%ina reflect kwa nini wanaume wana wahi kufa na kupata magonjwa ya sukari na pressure!!

Binafsi yangu ndo maana ni mejituliza kwa jimama otho mimi siyo mario but sitakii ku date na mademu wanakimbizana na deadline ya ndo na maisha!!sugu amekuja kuoa akiwa na 40 the same to proff jay 30's na pata picha why!!

Aise vijana kwa hali ya maisha ya sasa kazi tuanayo inabidi tuombe mungu sana kupata hela maana hata ukifilisika kwenyw ndoa unaweza pewa deadline! Hatari sana hii

Wanawake wana presha ya maisha sana hasa ambao wako on their late 20's hasa akiwa hana mtoto. Wimbo ni ndoa tu and they are so anxious about it.

Incase upo na KE wa aina hio na hujaanza ku earn au kuwa bread winner na life lako ni tight ujue chances za nyie kuachana ni 99% na atakutia stress sana before hamjatemana. She wants you to get married and progress ila uhalisia unakataa ila yeye hajali hilo. Na kama akiwa na kazi anaweza kupa hata mtaji at times japo upambane ila haitakuwa easy kama wewe sio aina ya vijana wapambanaji. Unaweza poteza mtaji ukaishia kuonekana kituko tu. Mwisho ni kufarakana na kuachana tu maana stress zitakuwa mara dufu.

Yani kwa vijana wa kileo tuna hali ngumu sana, salama yetu ni kupata kazi nzuri tu maana ukiingia kwenye payroll utaweza kukava magepu kama mwanaume. Ile Fighting spirit ni wachache sana wanayo na wengi ni wale ambao hawajapiga sana school.
 
Back
Top Bottom