DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,335
Also hakuna mtu anaweza kunifanya ni-panick my dear. Mimi ni mtu natoa ushauri sana mambo ya fedha, biashara nk. Sababu ndio nimebobea huko. Kwa hio nikiona kitu cha kusema au kuchangia, I do that. After all, this is JF.The truth ni chuki ndio mana umepanic kwan wote walochangia huu uzi hawapendi mtu afanikiwe then milion6 haikutajwa hapa kama anapewa inakua yake sina utajiri huo kwa sasa ni kama agreement ya kuingia patnership namm kama ana wazo ambalo analiamini anafnye kazi anipe yngu achkue yake mwezi wa nane ukifka atakua amepata chochote ananirudishia mtaji wangu ndio mana nikataja neno KUKUAMINI
Anyway 25K kama yupo tayari nipo tayari kumpa hata sasa hivi direct from bank to his account but hiyo njia inasoma detail zngu kwake na mtu cmjui anitafute kesho kwa mda wake apokee kwa wakala ni tatizo dogo tu hilo kwenye uhitaj
Sent using Jamii Forums mobile app