Mwanamke wangu anataka kuniacha baada ya kuona sina mwelekeo wa maisha

Pole sana mkuu, hizo ndo changamoto za maisha. Yeye anajishughulisha na nini? Kwenye maisha ya mahusiano Kuna kuinuana, kama haoni uelekeo wako basi atumie uelekeo wake ili kukuongoza wewe pia upate ueleko unaoeleweka.
 
Vipi yeye anamuelekeo gani wa maisha? Hivi mtu anatoa wapi uwezo wa kukuambia mambo kama hayo?
 
Na wewe badala ya kutafuta mwelekeo unakuja kulalamika hapa.
Tafuta hela ndugu yangu. Wanawake wapo tu.
 
Back
Top Bottom