Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Ndugu zangu wana JF kijana wenu nipo kwenye stress zone kwani mpaka nimeshapoteza mwelekeo wa maisha. Mambo yangu magumu sana!
Na mpenzi wangu kaniambia mpaka ukifika mwezi wa nane akiona hanielewi basi ataomba tu tuachane aendelee na maisha yake. Ameshachoka kusikia ahadi hewa toka kwangu kwani yeye mwenyewe umri umeenda na anahitaji maisha bora.
Naombeni ushauri katika hili ndugu