Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,822
Hongera sana kwa mama yako. All in all, tuwasaidie wenzetu wenye uhitaji kadri ya uwezo wetu.Uzuri nimelelewa na mama angu Baba yangu akitangulia nikiwa na umri wa miaka 8 so nimepambaniwa na mama yangu na nashukuru bi mkubwa hapendi ujinga





