Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,233
- 60,550
Naunga mkonoMalezi mabovu ya wazazi na watoto kutokujitambua vinapelekea wawe na tabia za hovyo watoto wa rika langu niliosoma nao karibia wote wameishia la 7 wengine form 2 wengine 4 failure mbona mimi sikuishia hapo hii ni kutokana na wazazi wangu walipambana hawakutaka ujinga na sio suala la kuwa na hela




