Asante kwa kulihighlight hili....4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana[emoji1541][emoji1541]
POINT muhimu sana hiyo na wengi wanashindwa hapa.. Asante mkongwe Daby kwa mawaidha mazuri.. Kweli utu uzima dawa[emoji1545]
Kwanini upelekewe maji bafuni ? Siuweke maji bafuni..hata sio milioni 1.
Wanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.Ndio hapo sasa wanapenda kweli kupelekesha wanawake
Hapa najaribu kuwaza hii line umeiandika ukiwa ktk mood gani?. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
Kwa upande wake yupo sahihi.Mama yako aliolewa?
🤣🤣🤣🤣 Mwanamke anataka afunguliwe mlango wa gari kwani yeye hawezi?🤣🤣🤣🤣Waambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yrye kujiepelekea hawezi 😂😂
Asante kwa kulihighlight hili....
Demokrasia.!??ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.
Hii sikubaliani nayo. Naamini mwanamke aliyeolewa kazi yake ni kukamilisha maono ya mumewe hii ndiyo inakuja mystery of oneness (hesabu ngumu sana, 2=1)Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao. [emoji1545]
Pengine uko sahihiHii sikubaliani nayo.Naamini mwanamke aliyeolewa kazi yake ni kukamilisha maono ya mumewe hii ndiyo inakuja mystery of oneness (hesabu ngumu sana, 2=1)