Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,676
- 112,864
Ya mzabzab sio??😂Hahahaha usitumie maneno mabaya hivi, ntakutokea kwa id halisi
Ya mzabzab sio??😂Hahahaha usitumie maneno mabaya hivi, ntakutokea kwa id halisi
Ntakutokea ndotoniYa mzabzab sio??
Kama umekosa tuingie mkataba basi niwe incubator nikuzalie mapacha vigezo na masharti kuzingatiwa....upo tayari?Ntakutokea ndotoni
Mtag mkuuSi Miss Natafuta bado yupo yupo na yeye jua linataka kuzama? Mtafute hapa jukwaani!
We hapana, Hao watoto watanipasua kichwaKama umekosa tuingie mkataba basi niwe incubator nikuzalie mapacha vigezo na masharti kuzingatiwa....upo tayari?
Heeee si nawalea mimi kazi yako kulipa bills tuWe hapana, Hao watoto watanipasua kichwa
Mmh, wewe huyoHeeee si nawalea mimi kazi yako kulipa bills tu
Ndio maana nimesema mkataba, cha kwanza unamnunulia ma kijacho gari la kwendea clinic cha pili mimba nataka nikaibebee Dubai 😂😂😂😂 tuko pamoja?Mmh, wewe huyo
We labda njia ya mpira, kiingizio changu hakiwezi kuitwa mimosa pudica afu bado nikileteHeeee si nawalea mimi kazi yako kulipa bills tu
We hutaki offer hiyo?All the best....
Unaona sasa , punguza basi ubakishe vitz tu hapo tufanye kaziNdio maana nimesema mkataba, cha kwanza unamnunulia ma kijacho gari la kwendea clinic cha pili mimba nataka nikaibebee Dubai tuko pamoja?
😂😂😂😂😂😂 Hanna dili hapa kwaheri 🤣🤣🤣We labda njia ya mpira, kiingizio changu hakiwezi kuitwa mimosa pudica afu bado nikilete
AmeenMungu akupe hitaji la moyo wako mkuu
dharau dharau zako zinakuponzaHanna dili hapa kwaheri
Kuwa na huruma basi na wewe!Ndio maana nimesema mkataba, cha kwanza unamnunulia ma kijacho gari la kwendea clinic cha pili mimba nataka nikaibebee Dubai 😂😂😂😂 tuko pamoja?
Asikupe tabu huyo, ntajua pakumkamatiaKuwa na huruma basi na wewe!