Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,749
- 63,469
- Thread starter
- #81
ha ha ha ha wapo waliofilisiwa kwa sababu mbalimbali,au biashara zinakuwa hazitoki mkuuKataa roho ya kuwa masikini, pambana kiume mkuu😲
Kesho uwe masikini kwanini...
ha ha ha ha wapo waliofilisiwa kwa sababu mbalimbali,au biashara zinakuwa hazitoki mkuuKataa roho ya kuwa masikini, pambana kiume mkuu😲
Kesho uwe masikini kwanini...
Kwa nini yapungue,wakati viungo vile vya kati vipo vilevile?
Unaweza kuweka mikakati ya kumtafuta wa mbaliAsilimia 90 ya mwanamke utakaye muoa Mara nyingi unakutana naye kwenye mazingira yako ya kazi kila siku...hivyo kusema uumfiche kazi unayofanya ni uongo
Kwani maada ilikua inazungumzia umasikini wa mwanamke au mwanaume kutojionyesha mwanzoni kama anazo regardless mwanamke ni masikini au tajiri mkuu?
Hahahahahah aya bana, nimekupata vzuriha ha ha wa namna hiyo si wakuoa...bali ni kuchapa na kuacha.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]mi natafuta mwanamke atakayependa hela zangu ili siku atakayoniacha nijue ameniacha kisa hela zimekata
Hahahahah sasa sindio bahati zenyewe hizo. Kumbuka yule dada anayajua maisha pia japo kwao familia ya kawaida.Acha uoga mbona kuna wanaume wana pesa na wameonyesha toka mwanzoni wanazo na wamepata wanawake wamewaoa na wanaishi poa tu. Mfano Prince Harry
😂😂😂basi utakataa na kurise hoja za ulaya sio bongo😎
Maliza na kumwambia kuwa Meghan hajaolewa ili atoke kimaisha. Ameolewa kwa kuwa amempenda jamaa yake mtasha.🤣🤣🤣Prince harry kamuoa meghan markle.. sio mwanamke maskini hata kwa level za marekani ni tajiri.
Kipato cha meghan ni millions of dollars kabla hata hajakutana na prince
Megan kaleta stories sababu ana asili ya weusi . Ndio maana wakashangaa ukoo wa mfalme kuoa mwanamke asiye na asili ya kizungu...ila sababu sio umaskini..meghan ni tajiri kwa kipato chake cha uiigizaji
Lakini wapo wengine hawajawahi firisika tokea wawenazo, kataa roho ya negativity always be positive bana.ha ha ha ha wapo waliofilisiwa kwa sababu mbalimbali,au biashara zinakuwa hazitoki mkuu
Ni kweli kaka angu lakini sasa unavyofikiri ukijifanya mtu hohehae mchimba chumvi kama mnavyosema unaweza kuwa na confidence ya kumtongoza huyo Fatma dewji au wew unafikiri ukienda kumtongoza uko hali mbaya atakaa hata akusikilize kweli. Sidhani hata kama ataruhusu umuone 🙂Mwanamke tajiri anaanzia wapi kukupendea pesa zako ? Yaani mwanamke kama fatema dewji ukiwa unamtongoza.. uwaze atakupendea pesa zako si utakuwa uchizi?
Mtoa mada ameongelea usimzoeshe pesa mwanamke unaetaka kumuoa wale dada zetu wenzangu na sisi anategemea hela za mwanaume zimkomboe..huyo ni bora uigize huna inshu ili upate angalau atakaekupenda kwa dhati... sasa mtu kama fatema anaanzia wapi kupenda pesa zako hadi umuigizie
😂😂😂jamani msitufanyie hivyo, hatujaomba kuwa masikiniHahahahah sasa sindio bahati zenyewe hizo. Kumbuka yule dada anayajua maisha pia japo kwao familia ya kawaida.
Nyie wa buza ukioneshwa hela mwanzo sindio balaa. Utataka ujengewe kabla hata ya proposal ya ndoa.
😂😂😂kwahiyo unataka kusema "sisi wenye njaa tuendelee kuwa na wenye njaa wenzetu alafu tuzae kizazi cha wafa njaa auMaliza na kumwambia kuwa Meghan hajaolewa ili atoke kimaisha. Ameolewa kwa kuwa amempenda jamaa yake mtasha.🤣🤣🤣
Atofautishe njaa na mapenzi
Haya waza hivyo utapata majibu soonKwa nini yapungue,wakati viungo vile vya kati vipo vilevile?
Hahahahah mnatakiwa muolewe na wenye njaa wenzenu ili kwa pamoja mchape kazi na nyie muwe na nafuu ya maisha.🤣🤣🤣 Sio kutegemea ganda la ndizi!😂😂😂kwahiyo unataka kusema "sisi wenye njaa tuendelee kuwa na wenye njaa wenzetu alafu tuzae kizazi cha wafa njaa au
Ina maana mwanaume ni kitega uchumi kwa mwanamke?Tatizo ni kwamba asilimia kubwa uchumi wetu ni wa chini,hivyo wanawake ndo walianzisha tabia ya kutafuta mtu mwenye unafuu wa maisha ili waweze kupata kwa urahisi mahitaji yao.pale anapokuona una biashara fulani au umeajiriliwa mahari fulani pazuri basi mwanamke huwa na uhakika kabisa kuwa wewe utakuwa mtatuzi wa shida zake na hata familia yake.
Umasikini ndo husababisha hii hali wazee.Wengi hawana upendo wa dhati ila wanatazama pesa na kutimiziwa haja zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha nilishakuwa mkuu..ila wa kwangu ananipendea shidaWe kua kwanza ndio utaelewa haya mambo.