Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha

Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha

Aweke full package ili siku zikikata aje kutujazia server huku? 🤣🤣🤣 Wanawake mna maana basi.
Acha uoga mbona kuna wanaume wana pesa na wameonyesha toka mwanzoni wanazo na wamepata wanawake wamewaoa na wanaishi poa tu. Mfano Prince Harry

😂😂😂basi utakataa na kurise hoja za ulaya sio bongo😎
 
Kuna demu mmoja baada ya kumwambia nampenda ila nikamchana juu ya tabia yake ya kupenda hela sana na kuwa maisha yanabadilikaga sahivi nina za kumpa ila future ni fumbo hehe unajua alisemaje?

Alinibatiza TAG eti mi ni muoga wa maisha, yeye hawezi kuolewa na mtu anaewaza shida mbeleni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nikasema hiii!

Sahivi yuko kwenye folder la Recylce bin kama file la porno, na restore na kucheki kisha nafuta tena.
ha ha ha tatizo wao wanaangalia leo tu,hawajui kesho...sasa huo ni utumwa
 
Tunasaka hela ili tukwapue warembo wa haja, ukiwa vizuri ni rahisi kukuelewa na akifika ndani uko vizuri zaidi atatulia.

Hiyo ya kujifanya mzibua chemba [japo sijui unamaanisha choo kipi] itakupa mwanamke duni, ni kweli anaweza kuwa real ila ni duni big time.
 
Acha uoga mbona kuna wanaume wana pesa na wameonyesha toka mwanzoni wanazo na wamepata wanawake wamewaoa na wanaishi poa tu. Mfano Prince Harry

😂😂😂basi utakataa na kurise hoja za ulaya sio bongo😎

Prince harry kamuoa meghan markle.. sio mwanamke maskini hata kwa level za marekani ni tajiri.

Kipato cha meghan ni millions of dollars kabla hata hajakutana na prince

Megan kaleta stories sababu ana asili ya weusi . Ndio maana wakashangaa ukoo wa mfalme kuoa mwanamke asiye na asili ya kizungu...ila sababu sio umaskini..meghan ni tajiri kwa kipato chake cha uiigizaji
 
Acha uoga mbona kuna wanaume wana pesa na wameonyesha toka mwanzoni wanazo na wamepata wanawake wamewaoa na wanaishi poa tu. Mfano Prince Harry

😂😂😂basi utakataa na kurise hoja za ulaya sio bongo😎
Wale wana hela za urithi na wasizozitolea jasho;huku bongo leo unaweza kuwa tajiri....kesho masikini
 
Tunasaka hela ili tukwapue warembo wa haja, ukiwa vizuri ni rahisi kukuelewa na akifika ndani uko vizuri zaidi atatulia.

Hiyo ya kujifanya mzibua chemba [japo sijui unamaanisha choo kipi] itakupa mwanamke duni, ni kweli anaweza kuwa real ila ni duni big time.
Unamtengeneza naye aonekane ni wakisasa
 
Prince harry kamuoa meghan markle.. sio mwanamke maskini hata kwa level za marekani ni tajiri.

Kipato cha meghan ni millions of dollars kabla hata hajakutana na prince

Megan kaleta stories sababu ana asili ya weusi . Ndio maana wakashangaa ukoo wa mfalme kuoa mwanamke asiye na asili ya kizungu...ila sababu sio umaskini..meghan ni tajiri kwa kipato chake cha uiigizaji
Kwani maada ilikua inazungumzia umasikini wa mwanamke au mwanaume kutojionyesha mwanzoni kama anazo regardless mwanamke ni masikini au tajiri mkuu?
 
Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha hata siku moja katika mahusiano yenu, hata kama uko vizuri kiuchumi. Katika mapenzi yenu ya mwanzoni jishushe kabisa na asijue shughuli unayoifanya; hata kama una magari na majumba, usijionyeshe kabisa.

Unaweza kumwambia unafundisha chekechea, shule ya msingi, mshona viatu, mzibua vyoo n.k ili upate uhakika wa anachokupendea.

Je, Canakupendea kazi, pesa au anakupenda jinsi ulivyo.
Coming into America: Cast: Eddie Murphy; Arsenal Hall; John Amos; ......
 
Asilimia 90 ya mwanamke utakaye muoa Mara nyingi unakutana naye kwenye mazingira yako ya kazi kila siku...hivyo kusema uumfiche kazi unayofanya ni uongo
 
Back
Top Bottom