Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha

Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha

Kweli mkuu,ila wa kuishi naye unatakiwa umpate anayevumilia maisha yoyote;kwa sababu kuna kupanda na kushuka,anatakiwa ajue kutumia kuni n.k
Kuna demu mmoja baada ya kumwambia nampenda ila nikamchana juu ya tabia yake ya kupenda hela sana na kuwa maisha yanabadilikaga sahivi nina za kumpa ila future ni fumbo hehe unajua alisemaje?

Alinibatiza TAG eti mi ni muoga wa maisha, yeye hawezi kuolewa na mtu anaewaza shida mbeleni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nikasema hiii!

Sahivi yuko kwenye folder la Recylce bin kama file la porno, na restore na kucheki kisha nafuta tena.
 
Mmmh ukifanya hivyo watoto wazuri utawasikia kwenye bomba, maana hamna mtu anapenda shida.

Ushauri ; we weka fully package mezani hayo mengine ni matokeo tu.😂
Aweke full package ili siku zikikata aje kutujazia server huku? 🤣🤣🤣 Wanawake mna maana basi.
 
Kuna watu hata tuseme tunazibua vyoo hatuaminiki

sijui mpk nianze tembea na vitendea kazi vyangu mimi.
We mzibua vyoo halafu unanukia Dior SAVAGE badala ya kiharufu cha jasho kama chuma 😄! Umekula designer shades na saa isiyopungua uzito wa laki 3 ukiwa kwenye viunga vya Mlimani City pembeni ya Discovery 4!

Hapo labda uwe mzibua vyoo wa UN.

Vinginevyo ni sawa na kutaka kumuaminisha Ngedere asali ni tamu kuliko ndizi.
 
Back
Top Bottom