Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha

Mwanamke wa kumuoa usimtangulizie fedha

😂😂😂jamani msitufanyie hivyo, hatujaomba kuwa masikini

Karibu mihogo ya futari nipo hapa buza stendi nauza mihogo😂😂😂😂
Muhonge hiyo mihogo mpenzi wako ili imshawishi kufunga ndoa na wewe
 
😂😂😂kwahiyo unataka kusema "sisi wenye njaa tuendelee kuwa na wenye njaa wenzetu alafu tuzae kizazi cha wafa njaa au
ha ha ha halafu wenye njaa wana mbegu nzuri sana
 
Kuna demu mmoja baada ya kumwambia nampenda ila nikamchana juu ya tabia yake ya kupenda hela sana na kuwa maisha yanabadilikaga sahivi nina za kumpa ila future ni fumbo hehe unajua alisemaje?

Alinibatiza TAG eti mi ni muoga wa maisha, yeye hawezi kuolewa na mtu anaewaza shida mbeleni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikasema hiii!

Sahivi yuko kwenye folder la Recylce bin kama file la porno, na restore na kucheki kisha nafuta tena.
Mkuu huyu sio yule wa mihamala ya m-pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom