Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,287
Watu wanasema "vijana sikuhizi wanapenda mafanikio harakaharaka"
Kila mtu anakuwa mbele kulaumu ikitokea kijana kapata msala lakini hakuna anayejiuliza nini hasa kinaendelea. Mimi nasema tatizo si vijana, tatizo ni jamii including wewe unayetaka huyo dada anyongwe. Watu wanaosema anyongwe au akomeshwe wao wala hawaelewi lolote kuhusu changamoto vijana wanapitia hadi haya yanayowakuta yanapotukia.
Kama wewe hujawahi hata kukaa na kijana mtaani kwako, mkaongea kama kaka au dada, huna MORAL AUTHORITY kumkemea kijana akiishi lifestyle anayoijua yeye.
Jamii imepoteza uhusiano mwema na vijana hakuna anayesumbuka kutoa guidance kwa vjana. Wewe umefanya nini mtaani kwako zaidi ukikuta kundi la vijana unajifanya kama vile huwaoni?
Nikirudi kwenye habari ya huyo dada aliyekamatwa ni kuacha tu sheria zichukuwe nafasi yake huku ndugu na wapendwa wake wakimsaidia.