Mwanamke wa kitanzania adakwa na "unga" Indonesia

Mwanamke wa kitanzania adakwa na "unga" Indonesia

Good news...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwa Indonesia hyo ndo basi tena atauawa tu tena kwa kupigwa risas,kama walivyopigwa hao wanaijeria
 
Ni muendelezo wa vijana kutumika katika mambo maovu. Tunataka maisha ya harakaharaka pasipo kuyatolea jasho. Sasa ona atapigwa miaka kibao gerezani....tamaa mbaya
Indonesia wananyonga,hiyo miaka kibao itakua bahati yake tu.
 
Nikiwaona akina chidi,ray c,nando alafu MTU kadakwa inapendeza arududishwe bongo anyongewe huku live pale kinondoni studio kabda wenzie ndio watastuka
NENO
 
Hawa washenzi nawachukia mno wamefanya maisha ya wasafiri wa kitanzania Asia kuwa magumu sana,kila nikisafiri kuingia hong kong na Singapore lazima nipoteze masaa kibao airport,wanapiga sachi mpaka kwenye soksi.Wengi wanaficha ila tunadhalilika sana kwenye boda za watu sababu ya hawa wapuuzi,wakiona kitabu cha Tanzania tu unanganganiwa vibaya mno.
Hyo ring ya malaysia ndo wabaya kuliko,washamsakizia mfanyabiashara wa kikinga zigo la unga kwenye mapochi mwaka juzi jamaa wa watu amekaa sana jela china sjui kama kashaachiwa.Wameona china ngumu kupita wanapitishia malay alafu ndo unasambazwa kwenda china mainland,hong kong,macau na kwengineko,na wanunuzi wakubwa wa mizigo china ni wapopo.sasa mibongo ilivyo mizuzu haijiulizi kwanini wanaijeria wako radhi wanunue mzigo china kwa bei mbaya kuliko kubeba wenyewe kutoka huku ama kubebesha wapopo.
Vijana acheni tamaa.wote tunatafuta hela lakini nyie mumezidi mnatuharibia na sie tusio na hatia
 
Wamuue tu asirudi Tz yetu. Natamani hata bongo watumia madawa ya kulevya wangeuawa mitaani bila mtu kushitakiwa.

Akiri yako huwa inanipa shaka sana sio wauawe wanouza but wanaotumia je wangetumia kama awauziwi?
 
Back
Top Bottom