Mwanamke wa kirangi

Status
Not open for further replies.
una maana kuna waliotulia kutoka katika hayo makabila??
Hiyo sio kashfa Duduwasha ni kweli kuna tabia hizo kwenye hayo makabila, lakini hutaweza kujitetea kwa yeyote akakuelewa kama wewe ukijikuta umezaliwa katika hayo makabila.
 
halafu umesema wewe ni chotara wa hayo makabila ya kirang, naomba uwe wifi yangu ili nione kama kaka yangu ataibiwa kama wengine wnavyojaribu kutuaminisha humu...unaonaje? ili tuwathibishie kuwa siyo ukweli....
Jamani umechelewa,Nimeshawahiwa.bado hujaamini tu?
 
kwanza kuja humu kumba ushauri wa nani wa kumuoa kwa kigezo cha kabila lake bado ni kuonyesha mapungufu yake, ina maana yeye ameshindwa kutambua mtu anayemfaa mpaka aje humu kuomba ushauri tena wa ikabila? bado tuna safari ndefu sana...

namshauri atafute wa majaribio katika magazeti na facebook ..........
atampata wa Kilangi
 
Ndugu zangu mwenzenu nampango wa kuoa ila napenda kujua tabia za mwanamke wa kirangi.naomba ushauli wenu

usidhubutu wala kujaribu kwendakuoa huko kabisaaaaaaaa......kwanza wao kwa wao kunyimana hakuna kabisa,na pili siyi siri,wanawake wa kirangi wanapenda sana mambo ya shirki na kuwainamisha wanaume...nadhanai hapa umenielewa...i've witnessed mengi juu yao..na usipokuwa makini hatokuja mtu kwako au nduguzo kuwa wanakuja kukusalimia..
 
we uliona wapi hayo mambo? ina maana hawafai kabisa?...sasa mbona wameolewa kwa wingi ijini? ina maana waliowaoa wajiandae kuangua vilio kwa kuibiwa?
 
Kimbia kaka mm niliponea chupu chupu wanaitana kaka kumbe ni hawara
 
Kimbia kaka mm niliponea chupu chupu wanaitana kaka kumbe ni hawara
mhhh...ya kweli hayo?...kwa hiyo wa kwako alikuwa anamegwa na wanaojiita kaka zake wakati wewe ukiwa mahali fulani?? kama ndio hivyo sina la mkusema kuhusu hao viumbe...
 
Wewe kama umependa owa tu hakuna kabila lisio na kasoro....Na hakuna kila kabila linatabia moja.
 
mambo Mrs jumong......

me lyk ua avatar so much jaman........
karibu Goguryeo...wengine tunajilia raha tu huku, tulishampata Yuri mambo yanaenda kama tulivyopanga. we bado uko Buyeo? msalimie sana Daeso na Yongpo
 
wewe tafakari kwa kina jinsi ya kumbadilisha huyo unaetarajia kumwoa tabia zake kama ni ovyo,hakuna uhusiano wowote wa kabila la mtu na tabia,ndoa .mshirikishe mungu wako akupe mke mwenye maadili mema.
 
hivi hii tabia ya kukashifu makabila mengine kwa kivuli cha kuwa na tabia ya maharage ya mbeya itaisha lini?
 
huku buyeo mambo magumu, Daeso kawa mbogo baada ya kukataliwa na sosunho, ana hasira na mumeo ile mbaya, yongpo kama kawaida kawaida anapeta tu na vimwana wa palace(maids), hapa nilipo niko mbion kukimbilia shila naona huko maisha yana afadhali nikikumbana na Deokman( seondeok), ila misil nae ananitia woga........
karibu Goguryeo...wengine tunajilia raha tu huku, tulishampata Yuri mambo yanaenda kama tulivyopanga. we bado uko Buyeo? msalimie sana Daeso na Yongpo
 
Kama ukiona Misil anakuzingua muunge mkono Deokman na Yusin na Kim Chunchu! ukiona wote wanakuchanganya nenda pale jirani yao nchi ya Baekje, kuna general Gye Baek, huwa ni mtu poa sana na atakupokea...

Back
Top Bottom