Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

Mbona unalialia? Kama unayo si umpe? Anataka kujua kama baadae mkioana utakuwa responsible kwake.
 
Wewe inaonekana hata akijamba unaweza kuja kuomba ushauri humu. Hebu jaribuni kupambana kwanza, vitu vidogo vidogo kama hivi jiongeze mwenyewe. Sasa tukikuambia anafaa, vipi utabeba?
 

Hasanteeeeee babu, yaani kila nikikuona humu nafurahiiiii, maana najua umekuja kunifundishia hawa wavulana.
 
Usiruhusu kuwa daraja la pesa utajuta mwambie msimamo wako kuwa wewe unataka kuwa mwanamke wa aina gani
 
Hasanteeeeee babu, yaani kila nikikuona humu nafurahiiiii, maana najua umekuja kunifundishia hawa wavulana.

Mhhhhhhhh,

Siyo vibaya lakini kuanzia Jtatu njema ya matemebezi ya kwenda NEC...

Mzima na umesalimika week end??

Babu DC!!!
 


atakuwa 'anakuchunguza' moyo wako wa kutoa...
 
kwakweli inabidi waunde umoja maana wametuchosha kila siku lawama hizi hizi, wanaume na nyie mmezidi ubahiri khaaaah!! Kwani mkitoa mnakufa?
na nyie mkiombwa toeni fasta.............acheni roho mbaya, kitu yenyewe mepewe bure....toeni bure vilevile
 

Sa c ndo uchunguzi wenyewe?
We unadhani atakuchunguza nini, Zaidi ya uwezo wako wa kuprovaidi which is primary?
 
na nyie mkiombwa toeni fasta.............acheni roho mbaya, kitu yenyewe mepewe bure....toeni bure vilevile

Teh teh teh!! Utoaji wa hela na hicho kitu havihusiani kabisaaaa , we toa tu.
 
teh teh teh!! Utoaji wa hela na hicho kitu havihusiani kabisaaaa , we toa tu.
shikamoo atoto.......haya nitumie account namba yako iwe ya mkombozi lakini..............
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli inabidi waunde umoja maana wametuchosha kila siku lawama hizi hizi, wanaume na nyie mmezidi ubahiri khaaaah!! Kwani mkitoa mnakufa?

Wanataka wapewe wao.....hivi wanaume wa siku hizi mmekuaje....?.....kwa nini hamtaki kutoa hela......?.........ua bila kumwagiliwa mnadhani litapendezaje......?......

Mie nashindwa hata kuwashangaa kwakweli!! Huu ubahiri gani sasa na kukalamika tuuuu kama gari bovu, mwanamke gharama jamani hebu toeni tu msisubiri hadi tuwaombe, khaaaaaah!!

Ndio unachunguzwa kama hauna mkono wa birika

huyo sio mpenzi wake ni mwanamke kamtongoza tu, je mnaunga mkono ukitongozwa tu uanze kupiga mizinga??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…