Hawezi nifanya chochote maana nikiondoka hua naaga wazee wangu...Anapiga mizinga huyo kuna siku kanivizia mnadani analia njaa oooh mzee niache hata na 10000 nikamwambia twende pori ukachunge mbuzi alilalamika sana mzee mimi hata bata sijawahi chunga nitaweza kweli
Akizingua piga kamatiHawezi nifanya chochote maana nikiondoka hua naaga wazee wangu...
Najua hilooMkuu uzi upo kiutani zaidi hautaki hasira
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nani tena kapanic akae mbaliMkuu uzi upo kiutani zaidi hautaki hasira
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nitamuharibia kwao anategemewa hadi na bataAkizingua piga kamati
Safi halafu kibanda chake kilipitiwa na bomoa bomoaNitamuharibia kwao anategemewa hadi na bata
Jana kaumbuka humu alikua anawatukana hadi waliompa msaadaKijana wa eapi yule yaani kawaaibisha waporipori anadai katoka mkoa halafu kaja Dar anapiga mzinga hadi wa kupewa mapazia duh yaani hata wabaume wa Dar hawafanyi hivi
Wewe una uhakikaKijana wa eapi yule yaani kawaaibisha waporipori anadai katoka mkoa halafu kaja Dar anapiga mzinga hadi wa kupewa mapazia duh yaani hata wabaume wa Dar hawafanyi hivi
Mabibo ashakimbiaSafi halafu kibanda chake kilipitiwa na bomoa bomoa
Alikimbia muda akanipigia simu mzee niko tayari kuchunga mbuzi nikamwambia utapata tabu sanaMabibo ashakimbia
Nasikia analima mchicha huko kibadaAlikimbia muda akanipigia simu mzee niko tayari kuchunga mbuzi nikamwambia utapata tabu sana
Hahaaaaaaa anadumisha sayansi uetuAcha uwoga hayo ni mambo ya waporipori tuView attachment 838819Unamwona bibi yake King kashikwa kwa uchawi huko Usukumani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nina mashaka kama anaweza maana ni kijana mjanja mjanja hivi huwa anaishi kwa kupiga mizingaNasikia analima mchicha huko kibada
Hahaaaaa ngoja nami one day nitapeli watu humu maana bado hawajapata somo vizurHuyo ndio mporipori halisi
Hajui hata ethics ya utapeli
[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3]