Mwanamke wa Dar

 
Wanaume wa Dar scorpion tu anafunga mtaa mzima kuna ya serikali kutuma wanaume kutoka mkoa tuweze kudhibiti uhalifu unaosababishwa na uoga wa wanaume wa Dar
Sababu tunasjindia chipsi
Acheni majungu endelezeni kilimo
 
Bitoz njoo huku nilikukosa kwa muda au ulimkimbia scorpion
Nilikuwa bize kumtembeza mporipori aliyenitembelea kutoka Mwanza jamaa ni mshamba sana hata gari hajui kuendesha halafu mchafu tu
 
Wewe Bitoz gari mpaka udandie la shugamammy njoo nikupe R420 lakini kwa jinsi ulivyo legelege unaweza kuitupa mtaroni
 
Wewe Bitoz gari mpaka udandie la shugamammy njoo nikupe R420 lakini kwa jinsi ulivyo legelege unaweza kuitupa mtaroni
Punguza mawazo ya king'ombeng'ombe
Chuo mkokoteni wako sukuma mwenyewe
 
Ulishawahi kuona guta mkoani maguta yapo kariakoo
Kweli ww mporipori km Kipepe
Umeshindwa kutofautisha guta na mkokoteni
Unajua kutofautisha mbuzi na ng'ombe tu
 
Sasa wewe kuendesha guta hapo kariakoo unaona unajua si ndio halafu wewe
 
wanaume wa dar kazi yenu kunywa supu za pweza ili kuboost mb..oo zenu zilizonyaushwa na chips yai kisasa na minofu feki ya broiler!!
mwanaume unavaa suruali ya njano halafu ya kubana makalio?
kwa uoga ndo usiseme kabisaa mko radhi kuona wenzenu wakiliwa tgo na kukabwa mchana mweupe huku mkijikojolea na kutetemeka eti mnawaogopa vibaka,
ingekuwa mikoani huyo scorpion na vikarate vyake angeshakuwa majivu.
 
Kuwatofautisha wanaume wa Dar na dada zao ni vigumu sana labda uwaambie wavue uanze kuwakagua
 
Kuwatofautisha wanaume wa Dar na dada zao ni vigumu sana labda uwaambie wavue uanze kuwakagua
Na pia ni vigumu kutofautisha wanaume wa mikoani na mifugo yenu mnafanana kiakili,tabia,uchafu,ibishi n.k
 
Waporipori mpo?
Nilipisha tetemeko la Kagera now rudini tupeane madongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…