Mwanamke wa Dar

Sijasema umetukana bali "tunataniana hatutukanani"
Joto City ndo mpango

Endeleeni kupalilia mipapai
dogo rudi huku kumeanza kulipa we endelea kuchakaza kizazi na videmu vyako
 
Mjini kuna vidume huko kwao kuna vibeberu.[emoji23] [emoji23]
Bushstar siku zote wanaendekeza ubishi tu masaa 24 labda kujisaidia maporini ndo kunawapa jeuri
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Siyohovyohovyo tu bali pia kishamba ndio maana pia kuna chuo cha vilazer kinaitwa UDOM
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
lakini wanaosoma wanatoka Daslaam yaan we acha tu
 
Bush bado kuna wasela nondo wanaovuta bhangi iliyochanganywa na kinyesi cha binadamu.
 
Wanatoka mabush/mikoani siyo Dar
hapo UDSM wanatoka huku,ila UDOM wanatoka huko coz mnalala club badala ya kusoma,ndo maana hakuna rais katoka daslaam wote mikoani tangu JK-JPM,mmezidi vigodoro
 
Dont be mad mzee,;maisha ni haya haya endapo hali inaruhusu, haijalishi unakiwanja, una nyumba umepanga, au bado unakaa kwa mazaa, jipe raha kivyovyote vile, hata huko ulipo unaeza kapy maisha ya dar na siku zikasonga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hapo UDSM wanatoka huku,ila UDOM wanatoka huko coz mnalala club badala ya kusoma,ndo maana hakuna rais katoka daslaam wote mikoani tangu JK-JPM,mmezidi vigodoro
Urais kitu gani?
Wafanyabiashara ndo mpango
Mtu billionea anatoka Dar
 
Muhimbili ni hospitali ya rufaa inapokea walioshindikana huko kwenu Milembe
DAR inaongoza kwa magonjwa ya akili,ya pili Mwanza alafu Rukwa,sisi kazi yetu kuwahudumia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yaani nyie wanaume wa Dar mna hali ngumu mnakula mpaka utumbo wa kuku kisa nini
 
DAR inaongoza kwa magonjwa ya akili,ya pili Mwanza alafu Rukwa,sisi kazi yetu kuwahudumia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nyie mnaolala na mifugo yenu ndo mmeambukizwa magonjwa hayo kisha mnayaleta Dar maana kila siku mnashindana kushuka Ubungo Bus Terminal
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…