wengi mnaoona Dar ni kwa maana sana mmekuja kwa ajili ya shule tena level ya chuo mkapata vikazi na kwa bahati mkono wa MUNGU akawabeba mkapata fursa na hasa kununua kagari na kupanga upande ndo mnaona mmefikaaaaaa!
acheni dharau na maisha ya tamthilia