Umeelewa kilichoandikwa?........lengo la thread utani tu km unahitaji serious issues nenda Jukwaa la siasaCyo wote mmkuu wengine tunajielewa vitu ka cmu ni vitu vya kawaida sana na cyo wote wa mikoani niwakulima ama wafugaji ila cyo mbaya ni mtazamo wako
Endelea tu kuvizia watoto wachafu wa wakulima na wafugaji wanaonuka maziwaTatizo lao kubwa na % kubwa sana ya wanawake wa Dar na Mijini kwa jumla weng ni Fake, unakuta..
Nywele za bandia,
Kope za macho bandia,
Ngozi full mkorogo, mzungu si mzungu mchina si mchina yaan n Fake,
Makalio full adjuste Fake,
Ipsi full machemical Fake,
No kope n full wanja Fake,
Hahaha ni kweli BossKutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa dar labda uwaambie vueni nguo uwakague mwanaume hana hata ndevu halafu kajikoboa anarembua kama dada zake kazi mnayo
Napendaga matani ila hili angelisema mwanaume wa dar ikanihusu mimi wa mikoani haki ya Mungu ningemska kwa udi ngorowilaaaa.Kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa dar labda uwaambie vueni nguo uwakague mwanaume hana hata ndevu halafu kajikoboa anarembua kama dada zake kazi mnayo
Hata Kilosa kwenu kwenye mafuriko ya kufa mtu ni DSM?Sasa hao wavaa uchi wa nini sasa hao ndio wanasababisha mnasombwa na mafuriko sawa Bitoz