Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,936
- 10,559
Waporipori ni wapuuzi km mbuzi ndio maana nimeanzisha huu uzi wanazingua km akina SuziHaka kauzi katamu asee Bitoz Kingsharon92 kilalile na wengine mmenifurahisha saana, mnataniana kiungwana bila hasira wala gadhabu safiii saaana nimecheka mpaka basii.. Yaani we kilalile wewewee..
Jukumu langu kuridhisha masugar mummy....mjini akili we endeleza kilimo cha jembe la mkono na mawazo yenu ya kimbilikimoEndelea tu kuwa mariooo siku kikinuka hapo kwa big mama utatupiwa virago vyako mlangoni na vile viboksa vyako vilivyochanika mwanaume majukumu bwana mtani unakuwaje tena unafugwa kama mifugo yangu
Siku ukitimuliwa hapo kwa big mama utaenda kuishi wapi mkuranga au ndio utaelekea chalinze kutengeneza geti uwe unapinga mizinga wakati tunaingia huko kwenye kamji kenu na mifugo yetu?
Acha wivu ww hawezi kuniacha amenihonga hadi ndinga we endelea kuchika jembe huko porini na kuendesha baiskeli hadi upate mvi.Leo dada zako watanitambua tu nimeshamaliza kuuza mifugo yangu niko huku mbezi nakagua mazingira kama suala la usafi limezingatiwa kidogo mmejitahidi
Nyie Wasukuma ina maana matrekta yenu yanatumia mafuta ya mawese? Mbona siwaoni mkinunua diesel kwenye shell ya Sugar mummy wangu anayomilliki huko NyamaganaNani alime kwa jembe la mkono kuna kitu kinaitwa MASSEY FERGUSON & FORD 5500 Nalima huku napungwa upepo mwanana wa kando ya ziwa nitazeeka lini nikileta mifugo yangu huko kuna ktu SCANIA R420 mm ni kuuma kishoka kwa pembeni nawapimia dada zako na njaa zao upo hapo?
Acha fix njoo Bongo utoe tongotongo huku hatuendeshi baiskeli wala kutumia miswaki ya mitiSasa wewe Bitoz utatuona saa ngapi wakati umehifadhiwa ndani kama mazao kwenye maghala yangu toka nje uone wanaume wa kazi au unaonaje next month nikileta mifugo yangu nikutafute angalau uonane na sura ya kazi kutoka kanda ya ziwa
Dada zangu wajanja hawawezi kulala wala kushobokea waporipori hata uwe na kontena la pesa ....Nije mara ngapi hebu niache kwanza nimpe maraha dada yako kesho alfajiri narudi zangu kanda ya ziwa mwanza kurudi next month kwenye tarehe 2 hivi najua dada zako watakuwa wananiwaza dume la kanda ya ziwa upo hapo mpaka wanja aka Bitoz nyangema
Bora mimi natembea na sugar mummy kuliko ww mvizia madenti siku ukikamatwa utafungwa jela miaka 30 na mifugo itakufa kwa njaa na huko jela yatayokupata iwe siri yakoHahahahahaha usinifanye nicheke kwa sauti kesho siku ukizungukia maeneo ya mnadani waulize eti lile SCANIA-R420 nyekundu linalokuja mara moja kwa mwezi nani huwa anauma kishoka kwa pembeni kama hujawasikia dada zako wanakuambia yule mwanaume wa kazi mcharikaji msaka pesa mpambanaji shababi anajua kutumia pesa kwa malengo sasa wewe mpaka big mama ahongwe huko na wewe ndio upate kula chips mayai na mihogo kwa pilipili
Nilienda kanisani kukuombea ili ukija mjini ujue kutofautisha Tozy & shoga, panton & meli, Treni & Basi la mwendokas, Helkopta & Ndegei , Tango & Boga n.k.....Nakula vitu laini sio hiyo mibig mama sura nzito kama kivuli cha banda la mbuzi wangu miaka 30 gerezani na mimi wapi na wapi sasa hivi nahesabu masaa niondoke kwenye kamji kenu