Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,936
- 10,559
Kaendeleze mkoa wako ndo uje apa kusema hayoAahh tunaambiwa wanaume wa dar hakuna mnaloweza ila kujichubua tu na kupaka rangi kwenye kucha
Tukitoka apo na kumtongoza mschana wako hakataiNyie wanaume wa dar mna nini cha kujivunia tofauti na kupaka powder carolite na ripstik kuvaa kata k njooni mikoani kwa wanaume
Tatizo unafatilia af unajifanya hupendi mambo ayoWanaume wa Dar hawajui mambo ya shambani lakini kila siku wanategemea malori yashushe mazao pale Kariakoo. Sasa endeleeni kutusimanga sisi wa mikoani halafu tukache kupakia malori yanayokuja Dar badala yake tupeleke nchi za nje. Wanaume wa Dar kazi yenu ni kujadiliana DNA ya Tiffah na mimba ya Wema Sepetu. Endeleeni tu na mtindo wenu wa kujichubua halafu mnasingizia mnakunywa maji ya chupa kumbe ni chupa zenye krimu. Mnajidai wajanja kumbe mnapaki magari yenu CCM halafu wakati wa uchaguzi mnajifanya mnashabikia UKAWA. Wanaume wa Dar mnaweza tu kupiga picha kwenye mahoteli na kumbi za starehe huku hewa ikiwa chafu ya kunyang'anyana. Mnaazimana tu magari ili mkakuwadie wake za watu.
HahahahahahahahaaaaaImbombo ngafu
Hahahahahahahhaha mtoko huoEndelea tu kupaka majivu usoni huko kwenu na kuendeleza kilimo cha mipapai
si mchezo
Nacheki Joto City girlz
Endeleeni kukaa tu maporini na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe na kupalilia mipapai!!!
Bishoo la Joto City
The Bitoz
ahahahahaha Jamani yaani amevaa nguo za kike hahahahaha hiyo picha ya mwisho
Bush Stars njooni mtoe povu hadi mjaze Simtank
Hapana chezeaWa Mabushstar