Mwanamke wa benki

Mwanamke wa benki

JF2012

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Wadau nishaurini je mimi nafanya kazi mbali demu wangu anafanya benki mbali pia je kuna madhara yeyote?
 
issue ni kufanya kazi mbali au kufanya kazi benki?
 
hahahaha, thread nyingne nzuri kweli.
Ndiyo ipo mwambie aache.
 
Utakayoyafanya na yeye atafanya hayo hayo tatizo litatoka wapi tena.
 
Mbali ni akhera na duniani. Wewe unazungumzia umbali gani nyakati hizi za utandawazi..
 
issue ni kufanya kazi mbali au kufanya kazi benki?

Bora umeuliza maana nami sijaelewa tatizo hasa ni nini? Au alitaka tujue mpenzi wake anafanya kazi Bank?
 
fanya hv kila utokapo kaz washa mwenge uwe unamfuata au yy awashe mwenge akufuate!
 
mi sijaelewa, au umekusudia ww unafanya bank, na yeye bank lkn mabali mbali?
Hilo suali umeliuliza km Jane, sory lkn
 
Tatizo hakuna labda wewe uyaanzishe,lakini nawe hapa unaomba ushauriwe jambo gani. Ukumbuke hapa kuna watu wa aina mbali mbali,wakati mwingine shida usiitafute ila ikupate.
 
Mkuu umeliwa, zima moto alaka, fimbo ya mbali aiuwi nyoka baba. mwambie amie karabu na sehemu unayo fanjia kazi mkuu acha kuzubaa utaliwa/ashaliwa tayali.
 
Back
Top Bottom