Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,908
- 120,925
Baada ya siku moja tu Diddy kaamua wamalizane nje ya mahakama.
Msanii wa Muziki wa rap Sean "Diddy" Combs na Msanii wa R&B Casandra "Cassie" Ventura wamemalizana Kisheria siku moja baada ya Cassie kumshtaki Diddy kwa ubakaji na unyanyasaji wa Kingono
Katika taarifa ya pamoja Wawili hao walisema walifikia makubaliano ya kusuluhisha suala hilo kwa amani siku ya Ijumaa, Novemba 17, 2023, bila kufichua maelezo zaidi
Katika kesi iliyofunguliwa Novemba 16, 2023, Cassie alidai Diddy alimpiga, kumbaka, kumuingiza katika Matumizi ya Vileo na Dawa Za Kulevya na kumhusisha na biashara ya ngono kwa zaidi ya Miaka 10 walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi
=====
In a statement, a lawyer for Combs had said he "vehemently denies these offensive and outrageous allegations".
The settlement was announced in a release sent by lawyer Douglas Wigdor, who represents Cassie.
The release said they had reached a deal to their "mutual satisfaction" on Friday evening, but no terms of the agreement were disclosed.
Source: Sky News
Pia, soma=> Cassie amfungulia mashtaka Diddy yakiwemo madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia