Mwanamke usiniulize haya..!

Mwanamke usiniulize haya..!

Ila mkiwa na ugomvi naomba tu msiulizane...maana lazima muone ni kero
 
Sijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...

Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika mahusiano!!! Huenda ni kasumba mbaya (nisamehewe na kushauriwa pia, nisishambuliwe na kusimangwa), na PILI, yaweza kuwa ndivyo tulivyoambiwa (Hapa pia tusamehewe na tusilalamikiwe)...

Nachukia sana maswali kama na/au yanayofanana na haya...
  • Uko wapi...
  • Uko na nani...
  • Unafanya nini...
  • Ulikuwa wapi...
  • Ulikuwa unafanya nini...
  • Ulikuwa unaongea na nani...
  • Unarudi sangapi...

Si kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
Mpe pesa ya kutosha.
Ukitaka kuondoka mpe tena ingine mwambie usinitafute kweny simu tutaonana jion au kesho
 
Ww unataka kuulizwa in a romantic way sio kuulizwa kama mtu mwenye kesi anayesubiriwa mahakamani[emoji28]
 
Sijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...

Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika mahusiano!!! Huenda ni kasumba mbaya (nisamehewe na kushauriwa pia, nisishambuliwe na kusimangwa), na PILI, yaweza kuwa ndivyo tulivyoambiwa (Hapa pia tusamehewe na tusilalamikiwe)...

Nachukia sana maswali kama na/au yanayofanana na haya...
  • Uko wapi...
  • Uko na nani...
  • Unafanya nini...
  • Ulikuwa wapi...
  • Ulikuwa unafanya nini...
  • Ulikuwa unaongea na nani...
  • Unarudi sangapi...

Si kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
.
Haya maswali ni kama mwanamke anakupangia mwanaume namna ya kuishi.
.
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume, sio kazi ya msaidizi kumpangia mkubwa wake nini cha kufanya.
 
kama unahusika kwenye utafutaji na kulisha familia asilimia 💯 hiyo mbwa isikuulize kitu oote
 
Back
Top Bottom