Unaniacha mwenyewe katikati ya majeshi ya Russia.... [emoji3167][emoji573][emoji3167][emoji573][emoji3167][emoji573][emoji3167][emoji573][emoji3167][emoji573]Aseee bila kusahau... ulinzi binafsi muhimu sana. Maanake wakija, sipati picha.
Hapana mkuu, nijizatiti hapa...maanake kitaumana.Unaniacha mwenyewe katikati ya majeshi ya Russia.... [emoji3167][emoji573][emoji3167][emoji573][emoji3167][emoji573][emoji3167][emoji573][emoji3167][emoji573]
kuna tone ya kuulizwa hayo maswali,na wewe unaesema huyapendi utakua unaulizwa kibabe saana 😅Mmmh!!! "Unafanya nini?"?????? Seriously ndio namna ya kumuonesha upendo mtu namna hii?
KabisaDemu akikupenda hayo maswali hayakwepeki
Uko sawa kabisa..hasa nikiwa na stress za maisha ndio kabisa..siwezi jibu maswali kama haya.Sijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...
Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika mahusiano!!! Huenda ni kasumba mbaya (nisamehewe na kushauriwa pia, nisishambuliwe na kusimangwa), na PILI, yaweza kuwa ndivyo tulivyoambiwa (Hapa pia tusamehewe na tusilalamikiwe)...
Nachukia sana maswali kama na/au yanayofanana na haya...
- Uko wapi...
- Uko na nani...
- Unafanya nini...
- Ulikuwa wapi...
- Ulikuwa unafanya nini...
- Ulikuwa unaongea na nani...
- Unarudi sangapi...
Si kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
Ulikuwa wapi MchuchuKabisa
Na mimi nimenuna sitaki kuulizwa 😂😂Ulikuwa wapi Mchuchu
Jaman labda kakumiss? Msitukatili namna hiyoHasahasa hapo kuulizwa unaludi saa ngap?