Mwanamke usiniulize haya..!

Mwanamke usiniulize haya..!

Samahani

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
237
Reaction score
355
Sijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...

Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika mahusiano!!! Huenda ni kasumba mbaya (nisamehewe na kushauriwa pia, nisishambuliwe na kusimangwa), na PILI, yaweza kuwa ndivyo tulivyoambiwa (Hapa pia tusamehewe na tusilalamikiwe)...

Nachukia sana maswali kama na/au yanayofanana na haya...
  • Uko wapi...
  • Uko na nani...
  • Unafanya nini...
  • Ulikuwa wapi...
  • Ulikuwa unafanya nini...
  • Ulikuwa unaongea na nani...
  • Unarudi sangapi...

Si kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
 
Tupo wengi
 
Ukweli wengi hatupendi maswali hayo hasa wanaume ila hainabudi kujibu tena kwa ukweli maana hakuna jinsi.
Ukishakua na commitment ya mahusiano mambo hayo hayakwepeki, .
Mtu anayekupenda lazima ajali hali yako na sehemu ulipo.
ili usiyapate maswali hayo inabidi utafute wa night stand

So you whether you are on board (in relationship) or you're out.✌️
 
Si kwamba maswali haya sio ya muhimu. Napenda kuyajibu lakini yasiulizwe moja kwa moja kama yalivyo!!! Kuna mbinu ambazo zikitumika naweza tu kutoa ushirikiano... Lakini yakija na "ukavu" huohuo, huwa naishia tu kukwazika!!!
Hii point ya mwisho umemaliza kila kitu mkuu! Hata kwa upande wangu ni hivyo
 
Ukweli wengi hatupendi maswali hayo hasa wanaume ila hainabudi kujibu tena kwa ukweli maana hakuna jinsi.
Ukishakua na commitment ya mahusiano mambo hayo hayakwepeki, .
Mtu anayekupenda lazima ajali hali yako na sehemu ulipo.
ili usiyapate maswali hayo inabidi utafute wa night stand

So you whether you are on board (in relationship) or you're out.[emoji3577]
Nakubaliana na wewe... Lakini walau basi yaulizwe kwa namna fulani ya "kichokozi" kidogo... Yakija yakiwa makavu mno ni kama vile yanakuwa tayari yanaulizwa "kishushushu"
 
Hii point ya mwisho umemaliza kila kitu mkuu! Hata kwa upande wangu ni hivyo
Kabisa kabisa... Yani unapokea simu, mathalani ni saa nne asubuhi, na mke anajua kabisa uko ofisini. Lakini anaanza kuuliza UKO WAPI... Moja kwa moja inakuja akilini kuwa huenda ana tuhuma fulani zinafuatia maana obviously anajua ulipo
 
Back
Top Bottom