Mwanamke usikubali upweke olewa

Waache wajidanganye!
Wife material wengi wapo age ya 18----28,
29___33 age hii wamejaa wenye mapungufu mengi, na wasio na uvumilivu! Ni kaz kupata mke mwema
33__35 age hii wengi ni vibaka, wezi Wa mapenzi, Malaya na makahaba wastaafu, kupata wife material hapa mpaka upitie chekeche la roho mtakatifu, mwanaume akiingia kichwakchwa ataumia njiani
Ni age ilio ficha tabia, age iliovaa ngoz ya kondoo!
35__40 age hii mwanamke hana ujanja kila kitu anajulikana, hajifich wala hadangany chochote totally failed,Ni wakujizolea tu, wanaume wanaoa jumapil, jumamosi ndoa inakufa!
 
Ukitaka bia sio lazima ujenge bar nyumbani dear!
Hahahaha...kweli wewe kiboko. Hapo ndo kusema kuwa unaenda kunywa kwenye bar ya mwenzako au?. Yaani maana yake ukitaka mume siyo lazima uwe na wako ndani. Unaweza kumchukua hata wa jirani yako hapo ukakata kiu yako au unaenda kunywea mbali kabisa.
 
Inategemea mtu mwenyewe! Kuna watu hawana ndoa na wana 'peace of mind' vibaya mno.
Umejifunza wapi hayo mkuu?
Hakuna mwanadamu anayeweza kuishi peke yake isipokuwa chizi, mgonjwa, kalogwa au maiti.
Si mwanaume si mwanamke.

Saikolojia ipo hivyo.
Usijidanganye
 
Mwanamke anahitaji mwanaume na si lazima ndoa. Wanawake wengi kwenye ndoa ni wapweke kuliko unavyodhani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…