Maisha ya upwek yana madhara yake.

Maisha ya upwek yana madhara yake.

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,915
Reaction score
3,748
Unaweza kusema kuwa maisha ya upweke yana raha,ila kiukweli n ya mateso. unaweza ukaugua ukakosa msaada wowote.hata kujipikia ukashindwa na mwishowe ukafia kwa nyumba.


Ila kweli hayo maisha ni matamu sana.Ila mwishowe ina karama yake.kwa hiyo jichanganue unataka kuwa,kitengo gan
 
Kwann umefikiria kuugua tuu ? Mtu hawezi toka na akapata ajali au akaanguka kazini nje ya nyumbani kwake ?

Kwann uishi peke ako ? Tafuta mtu uishi naye.....
 
Unaweza ukawa na mwenza wako na bado ukaishi kama uko peke yako. Unaweza pia kuishi peke yako lakini ukajiona kama unaishi na wenza wa4.
Cha umuhimu ni kuishi vile roho inapenda
 
Back
Top Bottom