Mwanamke usikubali upweke olewa

Mwanamke usikubali upweke olewa

Jidanganye, huyo anayekumbia amechoka na ndoa anakuwa anakupa faraja tu we we na usimbe wako!
Sababu hata yeye akilimwa taraka na mmewe ataishia kuangua kilio!
Kwa nin kilio?
Naomba usinitukane mpuuzi wewe Mwenye mawazo chakavu!
Msimbe ni wewe usiejua nni nini unachotaka maishani unaishi kwa kufurahisha watu.

Mimi siishi kuwafurahisha watu naishi maisha ninayoona yanifurahisha. NAJUWA NI NINI NATAKA NA NiNAKIFUATA!
Wewe kama unaona ndoa inakufurahisha ishupalie mwenyewe. Usitukane watu na Kutaka waishi unavyotaka wewe!
Wewe kumuita mtu msimbe! Unaweza kunipa faida ya ndoa hata moja hapa!
Zaidi ya unafiki uliojaa ndoani! Watu hawongeleshani wiki nzima ndani, harafu wakitoka nje wanavaa nguo za vitenge sare!!
Mwanaume ana vimada nje, na mwanamke kangang' ania ndoa kwa sababu tu amezalishwa watoto wanne anashindwa pa kwenda!!!!!!
 
Wanawake msitudanganye,hakuna mwanamke asietaka ndoa,mke wangu nilimuacha akaondoka kwa jeuri,aliekua anamtegemea kampiga chini,anadai mimi nimemroga,kila analofanya halifanikiwi,alidhani akitoka kwangu ataolewa fasta.
Wanaume ndio tunapanga tumuoe nani,nyie wanawake tunawapangia,
 
povuuuuuuuu
 
Loveness,matatizo ya watu ya ndoa wewe hayakuhusu,kila mtu na maisha yake,usichukie ndoa kisa fulani anapata majanga kwenye ndoa yake,
ni kama vile mtu ametendwa na mwanamke au mwanamme fulani basi anawachukia wote.
 
povuuuuuuuu
Utajijua mwenyewe, ila kuwa single ni raha sana kuliko kuolewa bora uwe na kipato kila unachotaka humuombi mtu. Na kuolewa na MTU sahihi ni kutamu zaidi! Sio kuokota okota tu jitu la kukupa stress eti kuolewa ni sheria! Sheria ya kutoka wapi!
 
hilo la kuvaa vitenge limenichekesha san khaa jf idumu
 
Utajijua mwenyewe, ila kuwa single ni raha sana kuliko kuolewa bora uwe na kipato kila unachotaka humuombi mtu. Na kuolewa na MTU sahihi ni kutamu zaidi! Sio kuokota okota tu jitu la kukupa stress eti kuolewa ni sheria! Sheria ya kutoka wapi!
ENDELEA MAMA JIPIGE NA NDIZI RAHA JIPE MWENYEWE
 
f2e74326bcc6e0e1a685e2e42410ae97.jpg
 
Loveness,matatizo ya watu ya ndoa wewe hayakuhusu,kila mtu na maisha yake,usichukie ndoa kisa fulani anapata majanga kwenye ndoa yake,
ni kama vile mtu ametendwa na mwanamke au mwanamme fulani basi anawachukia wote.
Sikatai kuolewa dear, ila nakataa haya mambo ya kuwatia ukichaa wanawake eti ohh lazima uolewe muda unakuacha!
Olewa na mtu sahihi unaempenda.

Siongei kutoka ombwe naona kwenye jamii, watu wangu wa karibu wamezikimbilia ndoa kuifurahisha jamii ila ukiwaona utawaonea huruma. Mtu anashindwa kutoka kwenye ndoa maana ana watoto watatu akitoka atawapekeka wapi na hana hata kazi, na huko kwao chumba chake alipoolewa kikapangishwa...
Mwanaume anaamua kuwa na nyumba ndogo tatu maana alioa ndoa ya kikatoliki na haivunjiki anabaki anapauka!

Ni bora ukazaa Mtoto wako mmoja ukawa unauza genge lako la mchicha unamsomesha... Muda wote unatabasam!!!
 
Naomba usinitukane mpuuzi wewe Mwenye mawazo chakavu!
Msimbe ni wewe usiejua nni nini unachotaka maishani unaishi kwa kufurahisha watu.

Mimi siishi kuwafurahisha watu naishi maisha ninayoona yanifurahisha. NAJUWA NI NINI NATAKA NA NiNAKIFUATA!
Wewe kama unaona ndoa inakufurahisha ishupalie mwenyewe. Usitukane watu na Kutaka waishi unavyotaka wewe!
Wewe kumuita mtu msimbe! Unaweza kunipa faida ya ndoa hata moja hapa!
Zaidi ya unafiki uliojaa ndoani! Watu hawongeleshani wiki nzima ndani, harafu wakitoka nje wanavaa nguo za vitenge sare!!
Mwanaume ana vimada nje, na mwanamke kangang' ania ndoa kwa sababu tu amezalishwa watoto wanne anashindwa pa kwenda!!!!!!
Usimbee sio tusi mpendwa bali maisha ya mwanamke bila ndoa!
Kuishi bila Mme sio tusi
 
Wanawake msitudanganye,hakuna mwanamke asietaka ndoa,mke wangu nilimuacha akaondoka kwa jeuri,aliekua anamtegemea kampiga chini,anadai mimi nimemroga,kila analofanya halifanikiwi,alidhani akitoka kwangu ataolewa fasta.
Wanaume ndio tunapanga tumuoe nani,nyie wanawake tunawapangia,
Single ladies wengi hawajui hayo!
Hata walio kwenye ndoa wanapoachika hujuta, wanapauka na kupoteza dira!
 
Hao wanawake wanaojipa faraja kuwa wakishakuwa na pesa tuu hata bila ya kuwa na mji watakuwa na furaha na maisha yatasonga wengi wao utakuta wanakuja kuzaa na waume za watu au ndo huishia kuwa ma sugar-mommy. Maranyingi mwanamke umri ukishasogea sana ndo hupotea kwenye ramani na huzidi kuwa desparate. Akibahatika kupata wa kumuoa lbda awe ni mwanaume aliyefiwa na mkewe, au anayetaka nyumba ndogo au ambae kafarakana na mkewe. Hivyo wewe ambae hujaolewa na ukijakutaka kuzaa lazima uzae na mume wa mtu au na serengeti boy na kuishia kuwa single mother. Hata hivyo huyo serengeti boy baadae nae atakuwa mume wa mtu. Hivyo kwa vyovyote vile lazima utaishia kuiba mume wa mwenzio. Na ukiona mwanamke umri umeenda sana hajawa na mji wake basi ujue huyo hakuwa wife material, siyo mtulivu katika mahusiano, ana tabia zisizompendeza mwanaume, ana mapungufu ya ndani tusiyoyaona au kalogwa. Ushauri: Muombe Mungu akupe wako mapema kwasababu utakujakupata dhambi kwa kuiba wa wengine. Unless kama utaishi pasipo kuzaa hapo sawa.
 
Back
Top Bottom