Mdalavangu
Member
- Mar 29, 2017
- 16
- 6
Nakubaliana na mtoa mada kwa sehemu lakn naamini amani au furaha ya mwanamke ina associate na sababu nyingine pia not only marriage
Nimefuta nlichokuwa nimeandikaTunataka muanze kututongoza ili tuwaoe!
Hata Mimi Niko bze nakusanya pesa tu nasubr mwanamke ajilengeshe nioe!

Mi sijawahi kupata stress na kuolewa, nataka familia ila sio lazima niwe na mume. Ila mume bora mwenye asilimia kubwa ya vigezo nitakavyo, sio eti naokota lijitu eti umri!Na loveeness78 usifikirie sana kuja kuolewa na unayempenda sana utajikondesha bure wanaume sisi tunajijua wenyewe ni ngumu kutuelewa tunachotaka
Fikiria maisha na ni busara kuwa na familia kulinda heshima ya uzee wako.
Jidanganye, huyo anayekumbia amechoka na ndoa anakuwa anakupa faraja tu we we na usimbe wako!Mi sijawahi kupata stress na kuolewa, nataka familia ila sio lazima niwe na mume. Ila mume bora mwenye asilimia kubwa ya vigezo nitakavyo, sio eti naokota lijitu eti umri!
Hata nikifikisha huo umri sitakuwa na kichaa eti mume!!!!! Furaha inapatikana sehemu nying. Nina marafiki zangu wameolewa asilimia kubwa wanajuta wamechakaa, zaidi kizuri walichopata ni Mtoto tu. Mi nikitaka Mtoto nitazaa bila kujitafutia stress.
Nakuona Loveeness ulivyo na hasira na hii mada, kulikoni nyuma ya pazia!!?Maisha ni maamuzi, ni kusimamia kile unachoamua.wacheni kututia ujinga, kwani wao si waoe tunawahusu nini!
Tatizo watu wanaamini kuwa ndoa ni fever kwa mwanamke, mnajidanganya!!! mwanamke anaweza kutoolewa na akaishi vizuri kuliko mwanaume asie oa.
Mwanamke hana ujanja wa kwenda vacation mwenyewe na akainjoi!! Wewe bisha tuWenzako miaka 26, 27, 28 hadi 32 wanawazia promotion kwenye kazi zao, au next vacation in the Caribbean islands wewe unawaza ndoa?
Sasa hiyo inahusiana vipi na kuolewa?Mwanamke hana ujanja wa kwenda vacation mwenyewe na akainjoi!! Wewe bisha tu
DenialWatu mkikosa wa kuoa mna stress! Acheni kutusumbua hata tusipoolewa tunafanikiwa na kuwa na furaha pia.
Nashangaaa wewe me ya ke utayajuajeSasa hiyo inahusiana vipi na kuolewa?
Wewe unakaa ndani ya vichwa vya wanawake ujue akienda vacay bila mwanaume hafurahii?