Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Naomba usinitukane mpuuzi wewe Mwenye mawazo chakavu!Jidanganye, huyo anayekumbia amechoka na ndoa anakuwa anakupa faraja tu we we na usimbe wako!
Sababu hata yeye akilimwa taraka na mmewe ataishia kuangua kilio!
Kwa nin kilio?
povuuuuuuuuNaomba usinitukane mpuuzi wewe Mwenye mawazo chakavu!
Msimbe ni wewe usiejua nni nini unachotaka maishani unaishi kwa kufurahisha watu.
Mimi siishi kuwafurahisha watu naishi maisha ninayoona yanifurahisha. NAJUWA NI NINI NATAKA NA NiNAKIFUATA!
Wewe kama unaona ndoa inakufurahisha ishupalie mwenyewe. Usitukane watu na Kutaka waishi unavyotaka wewe!
Wewe kumuita mtu msimbe! Unaweza kunipa faida ya ndoa hata moja hapa!
Zaidi ya unafiki uliojaa ndoani! Watu hawongeleshani wiki nzima ndani, harafu wakitoka nje wanavaa nguo za vitenge sare!!
Mwanaume ana vimada nje, na mwanamke kangang' ania ndoa kwa sababu tu amezalishwa watoto wanne anashindwa pa kwenda!!!!!!
Utajijua mwenyewe, ila kuwa single ni raha sana kuliko kuolewa bora uwe na kipato kila unachotaka humuombi mtu. Na kuolewa na MTU sahihi ni kutamu zaidi! Sio kuokota okota tu jitu la kukupa stress eti kuolewa ni sheria! Sheria ya kutoka wapi!povuuuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo la kuvaa vitenge limenichekesha san khaa jf idumuNaomba usinitukane mpuuzi wewe Mwenye mawazo chakavu!
Msimbe ni wewe usiejua nni nini unachotaka maishani unaishi kwa kufurahisha watu.
Mimi siishi kuwafurahisha watu naishi maisha ninayoona yanifurahisha. NAJUWA NI NINI NATAKA NA NiNAKIFUATA!
Wewe kama unaona ndoa inakufurahisha ishupalie mwenyewe. Usitukane watu na Kutaka waishi unavyotaka wewe!
Wewe kumuita mtu msimbe! Unaweza kunipa faida ya ndoa hata moja hapa!
Zaidi ya unafiki uliojaa ndoani! Watu hawongeleshani wiki nzima ndani, harafu wakitoka nje wanavaa nguo za vitenge sare!!
Mwanaume ana vimada nje, na mwanamke kangang' ania ndoa kwa sababu tu amezalishwa watoto wanne anashindwa pa kwenda!!!!!!
ENDELEA MAMA JIPIGE NA NDIZI RAHA JIPE MWENYEWEUtajijua mwenyewe, ila kuwa single ni raha sana kuliko kuolewa bora uwe na kipato kila unachotaka humuombi mtu. Na kuolewa na MTU sahihi ni kutamu zaidi! Sio kuokota okota tu jitu la kukupa stress eti kuolewa ni sheria! Sheria ya kutoka wapi!
Sikatai kuolewa dear, ila nakataa haya mambo ya kuwatia ukichaa wanawake eti ohh lazima uolewe muda unakuacha!Loveness,matatizo ya watu ya ndoa wewe hayakuhusu,kila mtu na maisha yake,usichukie ndoa kisa fulani anapata majanga kwenye ndoa yake,
ni kama vile mtu ametendwa na mwanamke au mwanamme fulani basi anawachukia wote.
Kasome tena, umebadilisha maandiko! Na imeandikwa ni marufuku kubadili, kuongeza au kupunguza neno kwenye kitabu kitakatifu!
Usimbee sio tusi mpendwa bali maisha ya mwanamke bila ndoa!Naomba usinitukane mpuuzi wewe Mwenye mawazo chakavu!
Msimbe ni wewe usiejua nni nini unachotaka maishani unaishi kwa kufurahisha watu.
Mimi siishi kuwafurahisha watu naishi maisha ninayoona yanifurahisha. NAJUWA NI NINI NATAKA NA NiNAKIFUATA!
Wewe kama unaona ndoa inakufurahisha ishupalie mwenyewe. Usitukane watu na Kutaka waishi unavyotaka wewe!
Wewe kumuita mtu msimbe! Unaweza kunipa faida ya ndoa hata moja hapa!
Zaidi ya unafiki uliojaa ndoani! Watu hawongeleshani wiki nzima ndani, harafu wakitoka nje wanavaa nguo za vitenge sare!!
Mwanaume ana vimada nje, na mwanamke kangang' ania ndoa kwa sababu tu amezalishwa watoto wanne anashindwa pa kwenda!!!!!!
Ukitaka bia sio lazima ujenge bar nyumbani dear!ENDELEA MAMA JIPIGE NA NDIZI RAHA JIPE MWENYEWE
Single ladies wengi hawajui hayo!Wanawake msitudanganye,hakuna mwanamke asietaka ndoa,mke wangu nilimuacha akaondoka kwa jeuri,aliekua anamtegemea kampiga chini,anadai mimi nimemroga,kila analofanya halifanikiwi,alidhani akitoka kwangu ataolewa fasta.
Wanaume ndio tunapanga tumuoe nani,nyie wanawake tunawapangia,
Mali+upendo okeypesa+upendo okey
Muwe na wenzi kabla ya miaka kukimbiaAisee kwa hiyo mnataka tufanyeje eti..