Mwanamke usikubali upweke olewa

Hapo ninaunga mkono hoja, nilishafanya maongezi na wanawake wanne tofauti wenye age tajwa hapo juu na kuelezea hali hy kwa huzuni kubwa sn
Hilo halipingiki, huzun, wasiwasi, kutojiamini, huishia kuwa na maisha magumu!
Bora yule mwenye Mme Wa mtu na ikajulkana kimada au nyumba ndogo ktk jamii ! Hujiamni kdogo maana anamsaidizi hasa mwenye majanga kama wizi, moto, vifo, njaa, dhuluma, kesi, nk wengine huishi kama wakimbizi sababu ya kukosa mume
 
Hayo maamuz ndo yanawachanganya mpk mnatembea uchi kila kukicha mkitaka huduma nje ya ofisi(ndoa) za watu?? Ww una uwezo wa kukaa muda gani K yako haijapandisha nyege!!?
 
Heee! Mm naona wanawake wengi walioolewa kila siku wanalia hawana amani kabisaaa! Wengi wameishia kuwa walokole na kuangukia mikononi mwa wachungaji waharibifu. Cha maana ni kutulia na kuomba Mungu akupe mume mwema kinyume na hapo, better being alone than with ill company!
 
Sio vibaya kujipa moyo
lakin Mungu ameandika na amepiga na muhuri kwamba binti ataacha wazazi wake na ataambatana na mumewe.
Kasome tena, umebadilisha maandiko! Na imeandikwa ni marufuku kubadili, kuongeza au kupunguza neno kwenye kitabu kitakatifu!
 
Thumb up!!!
 
Sijawahi sikia mwanaume akienda kwa waganga/kanisani kuombewa apate mke, lakini kwa manawake hilo ni jambo la kawaida.
 
They are very desperate na ndoa na hapo ndo wanaume utake advantage lakini mimi nasema ikimbieni zinaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…