T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,116
- 30,549
She is 14 years old.Your age!!?
Nyie ndo mnachezewaga mpaka kufikia miaka 30 uchi wako haujulikani mashavu ni yapi na kisi.mi kipi? Yaani uchi unakuwa kama ulipigwa bomu *****.Endeleeni kuendekeza njaa zenu mtachezewa wataolewa ambao wana tabia za bikira maria hata kama sura zao kama ukoko wa makande.Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema
Hahahaaa. Nimeshindwa kuielewa nia ya kritika kwa kweli. Lol.Aiseee!!....
Naweza kuwa na simu ya Tecno lakini nikawa na hela/uwezo wa kumuzidi anayetumia simu tofauti na Tecno
Unataka kuwaamisha wenzio kuwa anayetumia simu ya Tecno anasidifu kuwa yaliyomo hayamo?
Acha dharau wewe......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika Mbalizi.Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
Hahahaaaa. Akikujibu nitag na mie Mtani.Baba ako anatumia simu gani Dada?+ kaka+Mjomba
Hii inaitwa za kupewa changanya na zako Kaka sababu kwa alichokiandika wapo pia ambao wana akili kama zake.Unadhani kila anayetumia tecno hana pesa ndefu ?
Una shida!
Mie naona kaja kuwatania kama kawaida yake.Hivi mleta uzi yuko serious au amekuja tu kuwachokoza watani zake wa jadi?
Hahahaaa. Kritika kakufanya utoe la moyoni Kaka lol.Inategemea wengine tuna Nokia lakini acc inasoma tarakimu 9
Ukikua utaelewa mambo mengi
Usione kila mwenye Benz ana account nzuri iliyoshiba
Vizuri lakini kaweka wazi hisia za moyo wakeUwiiii. Hii kali.
Hahahaaa. Umeyajulia wapi haya jamaani rafiki lol. [emoji85] [emoji85]Msichana akiwa na 20-25 yrs ukimuuliza unataka mume wa aina gani, atasema mwenye gari, nyumba, Handsome, n.k
Akifikia umri wa 35 hapo ukimuuliza tena unataka mume gani atasema anataka Mume mcha Mungu, hakumbuki tena habari ya magari kwasababu uzuri unazidi tu kukwajuka na hata mitongozo imepungua.
Akifika 40 yrs hapo ukimuuliza tena, hapo atakwambia anataka Mume yoyote tu ilimladi awe tayari kuishi nae tu.
Jitafakarini.