Mwanaume mwenye muafaka na muelekeao wa kimaisha ndo kila kitu.
Life does not revolve around sex.
Afadhali mamii huyu mke mkubwa akikutana na.nduguze naona ananiletea gozigozi!!!!!!
Mkuu kwema?
HUyu Dada yako huyu ........!
Usije ukasema hukuonywa!!
Unaonywa wewe hapa kama huoni kati ya mistari!!!!!!!
Endelea tu kuangalia
Sawa?
Mtu mzima hatishiwi nyau
Mwanaume mwenye muafaka na muelekeao wa kimaisha ndo kila kitu.
Life does not revolve around sex.
Hivi ulitishiwa au aliitwa mtu??!!!
na kunawaosema marriage is more than sex
koh koh koh
Ndio sitishiwi huyo mtu!!!
Hakuna kutishwa mbona aliitwa tu au akiitwa wewe unaogopa?????!!!
Mi naafikiana na wewe 100% mkuu ni muhimu sana kupata mtu anayekufikisha,na inakuwa plusplus mkipendana kwa dhati pia basi hapo mwenza huyo atakuwa amekamilika katika kila nyanja,kwa ukishampenda mtu unakuwa tayari kujitolea kufanya hata yale usoyapenda ili mwenzio afurahi kwahio hata kuna una kasoro fulani fulani za kitabia utafanya juhudi ili mkutane japo katikati ili uhusiano uwe imara zaidi.Uhusiano unahusiana na balansiâ¦.yaani mwanamke na mwanaume wawe tayari kuyaacha mambo fulani wanayoyapenda na wasioyayenda ili kuwe na uwiano.Lakini wanavyosema wengi kwamba ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa si kweli kabisaâ¦ndoa ni kuhalalisha kwa tendo la ndoa,kwasababu ni tendo la ndoa na upendo ndio vinawaunga mwanamke na mwanaume na kama iwapo hakuna tendo la ndoa basi hakuna ndoa na hakuna tofauti ya dada na kaka!kwasababu hata kati ya kaka na dada kuna upendo!
marriage inabeba vitu vingi ila tendo la ndoa ndio ndoa yenyewe atii,mie mume wangu analitambua hilo hahahaaa