Mwanamke: Unamchagua yupi? Mwanaume anayekufikisha au mwanaume mwenye muafaka?

..wadada wangefunguka kikweli wanaume tungejua hasa hawa viumbe wanataka nini...bahati mbaya wengi hawawezi kufunguka.,
 
Mpiga show mzuri alafu ni careless huyo atanivuruga psychologically na show nzima itakua zero sum

Better ozzbend material utanashati na caring tu vinanifikisha nusu kilele hicho kipande kingine tutasaidiana na kuvumiliana
 
Nimesoma Title tu ila mi napenda mwanaume mwenye upendo maana ngono ni kufundishana hata kama hajui nitamfundisha anipe navyotaka ni matumizi tu na ufundi lakini upendo ndio kila kituuu
Dinazarde kufundishana sawa lakini kuna hilo la jogoo kutowika ipasavyo, yaani kagoli kamoja tu ngoma inalala hadi kesho yake na wenye tatizo hilo pia wana tatizo lingine la premature ejaculation ambapo akipata joto kidogo tu wazungu haoooo....... hebu nieleze kuna kufundishana hapo?
 
Last edited by a moderator:
Mh ni ngumu kumesa...anayejitambua ndio whole package ijapokuwa kumfundisha mtu mzima jinsi ya kukufikisha kazi na wanaume wengi wakiwa wabovu eneo hilo ni wagumu mno kufundishika!raha umpate anayejitambua kiasi na anayekufikisha kwani hakuna aliya kamilika kila mtu ana kasoro fulani!
Umesema kweli, ni ngumu sana kumfundisha mwanaume kufanya tendo maana kuna maswali mengi yataenda kichwani mwake, kumbuka mfumo dume umemfanya mwanaume kujiona ni shujaa wa kila kitu, ikiwa kumwelekeza tu namna ya kuwasha King'amuzi inaweza kukuletea shida seuza kumfundisha kujamiiana.
wanaosema kwamba watamfundisha mwanaume asiyeweza mambo ya kitandani nni kutudanganya tu, lakini ukweli ni kwamba jambo hilo ni gumu sana, siyo rahisikama wanavyofikiria.

Naomba mjiulize kwani nini kuna idadi ya kutosha ya wanawake wanaoishi kwenye ndoa ngumu? Hivi ingekuwa wanaume hao wanyanyasaji wangekuwa ni wabovu kitandani wanawake hao wangeendelea kuishi kwenye ndoa hizo?
Tusidanganyane kinachowaweka wanawake hao kwenye ndoa hizo pamoja na mambo mengine ya kuhakikishiwa usalama wao lakini kubwa linalowaweka ni uwezo wa wanaume hao wawapo kitandani. wanafikishwa vilivyo na ndio maana hata wenzao wasiyojua huwa wanawashangaa kwa kusema "Sijui kampendea nini yule mwanaume, mtu ananyanyaswa lakini yumo tu haondoki kwao..!

Ni kwamba kuna liwazo ambalo anahisi kwamba hawezi kulipata popote...........
 
Aisee Mtambuzi hii kitu nimeipenda....hadi sasa ni 50 kwa 50....bado sijaona mshindi kati ya Dinazarde na Mtende.....

Kumbe unasubiri mshindii mi sishindani natoa mawazo yangu tu

Dinazarde kufundishana sawa lakini kuna hilo la jogoo kutowika ipasavyo, yaani kagoli kamoja tu ngoma inalala hadi kesho yake na wenye tatizo hilo pia wana tatizo lingine la premature ejaculation ambapo akipata joto kidogo tu wazungu haoooo....... hebu nieleze kuna kufundishana hapo?

Hapana upendo kwanza haya mengine ni kuvumiliana na kuelekezana,je ikitokea mume akaugua miaka mitatu na penyewe mke atasema haridhishwi !??ngono ni ziada tu Mtambuzi sema wanawake siku hiz tuna visingizio ili mradi achepuke,,..

Mtende kama mkweli wa nafsi, lakini Dinazarde naona kama anatudanganya, labda tu kama na yeye atasema bora yeshe ajichepukie zake kutuliza mzuka

Sijakudanganya ndio ninavyoona ni sahihi kwangu mambo ya kitandani ni kuelekezana hayo mambo ya kumwaga haraka mbona yanatibikaa,akiwa sio rijali hapo ndio tatizo kama tatizo halitapona
 
Last edited by a moderator:
Umesema kweli, ni ngumu sana kumfundisha mwanaume kufanya tendo maana kuna maswali mengi yataenda kichwani mwake, kumbuka mfumo dume umemfanya mwanaume kujiona ni shujaa wa kila kitu, ikiwa kumwelekeza tu namna ya kuwasha King'amuzi inaweza kukuletea shida seuza kumfundisha kujamiiana.
wanaosema kwamba watamfundisha mwanaume asiyeweza mambo ya kitandani nni kutudanganya tu, lakini ukweli ni kwamba jambo hilo ni gumu sana, siyo rahisikama wanavyofikiria.

Naomba mjiulize kwani nini kuna idadi ya kutosha ya wanawake wanaoishi kwenye ndoa ngumu? Hivi ingekuwa wanaume hao wanyanyasaji wangekuwa ni wabovu kitandani wanawake hao wangeendelea kuishi kwenye ndoa hizo?
Tusidanganyane kinachowaweka wanawake hao kwenye ndoa hizo pamoja na mambo mengine ya kuhakikishiwa usalama wao lakini kubwa linalowaweka ni uwezo wa wanaume hao wawapo kitandani. wanafikishwa vilivyo na ndio maana hata wenzao wasiyojua huwa wanawashangaa kwa kusema "Sijui kampendea nini yule mwanaume, mtu ananyanyaswa lakini yumo tu haondoki kwao..!

Ni kwamba kuna liwazo ambalo anahisi kwamba hawezi kulipata popote...........
Mi naafikiana na wewe 100% mkuu ni muhimu sana kupata mtu anayekufikisha,na inakuwa plusplus mkipendana kwa dhati pia basi hapo mwenza huyo atakuwa amekamilika katika kila nyanja,kwa ukishampenda mtu unakuwa tayari kujitolea kufanya hata yale usoyapenda ili mwenzio afurahi kwahio hata kuna una kasoro fulani fulani za kitabia utafanya juhudi ili mkutane japo katikati ili uhusiano uwe imara zaidi.Uhusiano unahusiana na balansi….yaani mwanamke na mwanaume wawe tayari kuyaacha mambo fulani wanayoyapenda na wasioyayenda ili kuwe na uwiano.Lakini wanavyosema wengi kwamba ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa si kweli kabisa…ndoa ni kuhalalisha kwa tendo la ndoa,kwasababu ni tendo la ndoa na upendo ndio vinawaunga mwanamke na mwanaume na kama iwapo hakuna tendo la ndoa basi hakuna ndoa na hakuna tofauti ya dada na kaka!kwasababu hata kati ya kaka na dada kuna upendo!
 
Huu kweli ni mtihani ila kama ukinikuta mie nitamchagua huyo wa kwanza,kumfata abuser asiyeniheshimu wala kujali familia ni ubinafsi.
Ndoa ni zaidi ya kuridhishana kwenye 6*6,tutazaa baadae,kuna maradhi,kuna wazazi na ndugu wa pande zote mbili. Ni husband material tu ndiyo atanivusha salama kwenye haya na wanangu watakuwa na baba ambaye ni mfano kwao.
Huko 6*6 tutaelekezana na kama "Bw. kipara" ana shida kusimama dede tutatumia alternatives!!!
 
Sasa mwanaume kama hakufikishi mie wa nini si bora nisiolewe nibaki kwetu,one of the major pillar in marriage is sex,tena kila mmoja awe satsified,hsyo.mengine yana nafasi pia ila tendo la ndoa linachukua nafasi kubwa,ndio linabeba dhana nzima ya ndoa

Umeuaumeuaumeua kbs, wew fimbo tu!
Nitafute haraka!
 
Umesema kweli, ni ngumu sana kumfundisha mwanaume kufanya tendo maana kuna maswali mengi yataenda kichwani mwake, kumbuka mfumo dume umemfanya mwanaume kujiona ni shujaa wa kila kitu, ikiwa kumwelekeza tu namna ya kuwasha King'amuzi inaweza kukuletea shida seuza kumfundisha kujamiiana.
wanaosema kwamba watamfundisha mwanaume asiyeweza mambo ya kitandani nni kutudanganya tu, lakini ukweli ni kwamba jambo hilo ni gumu sana, siyo rahisikama wanavyofikiria.

Naomba mjiulize kwani nini kuna idadi ya kutosha ya wanawake wanaoishi kwenye ndoa ngumu? Hivi ingekuwa wanaume hao wanyanyasaji wangekuwa ni wabovu kitandani wanawake hao wangeendelea kuishi kwenye ndoa hizo?
Tusidanganyane kinachowaweka wanawake hao kwenye ndoa hizo pamoja na mambo mengine ya kuhakikishiwa usalama wao lakini kubwa linalowaweka ni uwezo wa wanaume hao wawapo kitandani. wanafikishwa vilivyo na ndio maana hata wenzao wasiyojua huwa wanawashangaa kwa kusema "Sijui kampendea nini yule mwanaume, mtu ananyanyaswa lakini yumo tu haondoki kwao..!

Ni kwamba kuna liwazo ambalo anahisi kwamba hawezi kulipata popote...........

Ni kweli ni ngumu kumfundisha mume kujamiiana ila ugumu huo hauna maana haiwezekani.
Kama mna mawasiliano ya kutosha humo ndani basi ni rahisi zaidi. Hivi nashindwaje kumwambia mwanaume ambaye hakunikuta bikra kuwa sifiki mwisho wa safari? Mbinu zinahitajika katika kujieleza ili asijisikie vibaya ila mwisho wa siku ndio umesema hivyo. Unaweza ukamuongoza apite njia ambazo unajua zitakuleta karibu na kibo,mwambie nishike hapa niguse hivi akitahamaki mko wote Kibo. Mie naamini mwanaume anajisikia furaha na fahari kuona anamridhisha mwanamke be it kwa utundu binafsi au kwa maelekezo.
Hapo red kaka kuna sababu nyingi ikiwemo hiyo ya kukamatika kunako 6*6 na OSOKONI type,kuna wanaobaki kwa kutojiamini kuwa wanaweza kusimama wenyewe,kuna wenye hofu ya kuanza upya,kuna wanaohofia jamii itawaonaje,kuna wanaoogopa vitisho vya mwanaume wanaojidai hawajui kuacha na wengi huwa wanaogopa kuacha watoto wakalelewa na mama wa kambo!!!!
Again,ndoa ni zaidi ya game kunako 6*6!!!
 
..wadada wangefunguka kikweli wanaume tungejua hasa hawa viumbe wanataka nini...bahati mbaya wengi hawawezi kufunguka.,
Unataka watu wafunguke... ngoja sasa nikwambie. Ukimchagua huyo decent man asojua gem mara nyingi issue inaishia hapa: society inawaonea raha eeee bwana umepata kijana bora, what a couple! Na wanawake wengi wanalichagua hili kwa kuwa wanawake nature yao wanapenda security. Mtu irresponsible sio! BUT... utakuta bidada ana mchepuko... dereva wa teksi, kijana fulani tu wa kitaa ambaye ndo mpiga kazi sasa! Hela ya hubby anamkatia kijana nae amalize shida ndogo ndogo. Kwa wale waoga ndo utakuta anaishia punyeto huku mume anae ndani...!
 
Back
Top Bottom