Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
- Thread starter
- #61
Huu kweli ni mtihani ila kama ukinikuta mie nitamchagua huyo wa kwanza,kumfata abuser asiyeniheshimu wala kujali familia ni ubinafsi.
Ndoa ni zaidi ya kuridhishana kwenye 6*6,tutazaa baadae,kuna maradhi,kuna wazazi na ndugu wa pande zote mbili. Ni husband material tu ndiyo atanivusha salama kwenye haya na wanangu watakuwa na baba ambaye ni mfano kwao.
Huko 6*6 tutaelekezana na kama "Bw. kipara" ana shida kusimama dede tutatumia alternatives!!!
CC: Eiyer
Ni kwa nia nzuri tu........ LOL
Last edited by a moderator: