Mwanamke ukizoea kuwa mchepuko ndoa utaisikia tu

Mwanamke ukizoea kuwa mchepuko ndoa utaisikia tu

Hahahahaaaa! OUR GOD IS A FORGIVING GOD AS LONG AS YOU CONFESS! Riziki anagawa Mungu peke yake binadamu yenu maneno tu!

Ah! Mamaa mtetea michepuko! Nilijua tu lazima ujitokeze hapa. Usijiendekeze kuwa mchepuko halafu utegemee miujiza ya Mungu kupata ndoa.
 
Na hao waleta sred ndio wachepukaji number 1 na cjui kwann inawauma kila saa wanawake.... mawazo yao mda wote wanawaza mbunye tuu

Umeona eeh wakiachwa wanakuja hapa kuanza kuponda
 
naona wanaume mmepaniki kuhusu ndoa .... eeeh embu tuambieni mnakosa wa kuoa ninni?
 
Wengi wao wanaoleta sred iz hawana wake.....inawauma coz wanawake zao wanachukuliwa na mapedezyeee......watapata wap wake na wanapenda kutunziwa...

hahaaaa mwanamke anahitaji matunzo sio wao kutwa kulalamika nyuma ya keyboard...., by the way neno lake si sheria
 
Kweny michepuko me na ke mechi ni droo maana ukiondoa mashoga na wasagaji. Halafu wengi huku tunapiga madongo kama vile hatupendi kumbe either tumekosa fursa au tunaogopa ngoma na mengineyo. Exception zipo.
 
naona wanaume mmepaniki kuhusu ndoa .... eeeh embu tuambieni mnakosa wa kuoa ninni?

Mkuu lazima wakose wakuoa tatizo wabahili sana wenzao wanatunza wenyewe wanapenda vya buree.....na sk iz wanawake tushagundua kua michepuko ya watu basi ndio roho inawauma si unajua mtenda akitendewa lazima roho imuume ehne
 
Kuna watu wamekuwa michepuko sugu, na ndoa wamezipata, tena za wanamme na akili zao.
 
Depends we nimchepuko wa aina gani,watu wanaolewa daily au ndo michepuko kwa michepuko kuoana
 
Back
Top Bottom