Mwanamke ukizoea kuwa mchepuko ndoa utaisikia tu

Mwanamke ukizoea kuwa mchepuko ndoa utaisikia tu

Mwanaume mbahili yeyote ni lazima achelewe kuoa na mlalamishi sana, pia hadumu kwenye mahusiano yake....
Wanaume kumtunza mwanamke ni jukumu letu/ lenu acheni kukwepa.
 
Obvious, ukiwa kama mchepuko unakuwa huna thamani.
 
Si kweli.
Msitutie nuksi jamani

Tumewachoka jamani!

Siku hizi nitoke vipi ya JF ni 'women bashing threads'. Come up with something else. This is Too Monotonous and Boring.

Hahahahaaaa! OUR GOD IS A FORGIVING GOD AS LONG AS YOU CONFESS! Riziki anagawa Mungu peke yake binadamu yenu maneno tu!

Wengi wao wanaoleta sred iz hawana wake.....inawauma coz wanawake zao wanachukuliwa na mapedezyeee......watapata wap wake na wanapenda kutunziwa...

Teh teh teh... true colours are beautiful like a rainbow!
 
Back
Top Bottom