mwanamke soma hapa

mwanamke soma hapa

Huyo mwenye Mke na Mjamzito usikubali kuolewa naye km mzigo anataka wewe mpe na matumizi atoe
Wakati huu jiandae na hao wawili waliobaki ni nai anafaa kukuoa mambo ya michuzi usiangalie wewe jali Penzi la dhati hasa ukigundua kuna anayekulilia akiwa kifuani mwako ndio huyohuyo
 
Jiandae na KANSA ya kizazi miaka si mingi
 
Kama umepima juzi ni mapema sana kujua hali ya afya yako!
Unajuaje kama hauko kipindi cha dirisha?

Habari zenu mimi ni mschana wa miaka 23 nimeshatembea na wanaume 35 na kati ya hao niliokuwa na mawasiliano nao ni watatu tu na kati ya hao kuna mmoja ndo ananihudumia nikimwambia kitu ananifanyia ila anaishi na mwanamke, na mwanamke wake ni mjamzito na yeye huyo mwanaume anasema anataka anioe je nifanyeje wakati na wale wawili waliobaki nao wanasema wanataka waniowe na juzi nimekwenda kupima afya yangu nimekutwa sina maambukizi yeyote ukimwi
 
aah jamani mutuwache tupumuwe!kakwambia nan idadi inaongeza size?km ndi hivyo bac wengine ingekuwa bahari!...ila mingu wa ajabu,tena unaweza kuta huyo ni mnato balaa
 
Kutembea nao una maana kuongozana nao au wamekugegeda wanaume 35?hio si coaster imejaa hapo
 
Miaka 23 umetembea na wanaume 35!! Wewe ni changudo au ni mwanamke gani? Midushelele 35 kwa size tofauti utakuja kutosheka na moja kweli!! Ni lazima uwe unatafuta maana moja haikutoshi. Una bahati kweli hukuukwaa!! Tupe siri ya mafanikio hukupata VVU!!! Dunia imekwisha au ni sisi tumekwisha!!!??

My God, you are not normal.. Mungu akusaidie mdogo wangu ili utulie.. hali mbaya sasa ivi na pia sio sifa kutembea na wanaumw wengi.. lloh
 
Kwa waliokuwepo Dodoma mwaka 2005 mpaka 2007 wanaweza kumkumbuka kijana mdogo Adam., ambaye alikuwa gumzo kwa kuzini na wanawake,wasichana wa shule takribani mia mbili (200).Hakuwa amefika miaka 30, kijana huyu alifia Hospitali ya Mirembe kwa kuwa na Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI).
Aliacha daftari lenye idadi na majina ya wasichana aliozini nao,akiamini kuwa amewaambukiza HIV wote.

Mtazamo wangu..
Huyu binti amegundua kuwa amefanya makosa ndo mana ameweka wazi idadi ya wanaume aliotembea nao, akiamini kuwa anaweza kusaidiwa na kuondoka huko alikokuwapo mwanzo.
Ni kweli alikuwa amekosea lakini hatujui alikuwa katika mazingira gani alikuwa anafurahisha nafsi yake,alikuwa anashurutishwa,alikuwa anashida ya pesa.,yeye ndo anayefahamu.
Ushauri
Ni vyema uanze kwa kuichukia hiyo tabia maana sio nzuri kwakuwa inapingana na sheria za dini na pia inapingana na sera za kijamii.Kufanya ngono na wanaume wengi inakuweka kwenye hatari ya magonjwa hatarishi.Achana nao wote then anza maisha mapya ya kumtegemea mungu.
 
Wewe mwenyewe haujaamini kama una uwezo huo? Mbona bado sana. Weye mdogo wasikuoe watakuzeesha tu. Ongezea list wafike walau mia (ukiwa 30) ndo uolewe. Ila unahitaji ka-ledger book ili usisahau.
mkuu cyo hivyo lakini n kitu cha ajabu
23=35
35=?

hahahah, umekuwa mkali kama mwalimu gfsonwin
[/COLOR]

Attach Hiko Cheti hapa.
 
Last edited by a moderator:
Duh. Yaani ulianza ngono ukiwa na miaka 16! Mary mother of Jesus! Kwani mi ni wa kizamani hivyo jamani? Dark coty, wajukuu hawa mmmh
duh we ni hatari ina maana kila baada ya ndani ya hiyo miaka 23 mwaka ulitoka na mwanaume mpya, plus kuna miaka sita uliyokuwa unagongwa na wanaume wawili kwa mpigo, we ni noumeeerrrrrrrr, mie nina 24 yrs so far nimetoka na wanaume watatu, hivyo ina maana ndani ya miaka nane nilitoka na men wa3 tu....punguza hiyo spidi una haribu mazingiza ya huko dauni shosti
 
Last edited by a moderator:
ww ni sexualmania nenda kwa matibabu,pschiatric clinic mnh
 
Habari zenu mimi ni mschana wa miaka 23 nimeshatembea na wanaume 35 na kati ya hao niliokuwa na mawasiliano nao ni watatu tu na kati ya hao kuna mmoja ndo ananihudumia nikimwambia kitu ananifanyia ila anaishi na mwanamke, na mwanamke wake ni mjamzito na yeye huyo mwanaume anasema anataka anioe je nifanyeje wakati na wale wawili waliobaki nao wanasema wanataka waniowe na juzi nimekwenda kupima afya yangu nimekutwa sina maambukizi yeyote ukimwi

Sio mzima huyu, anaugua lakini hajijui

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom