asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
asakute same kwa siri kweli wanawake tunazo, na sizani kama kuna kitu ambacho sikijui kuhuse ;ke; ila 'ke' siyo rahisi kukuambia mambo yake ya undani, hata huyo aliyesema ametembea na 'me' 35 inawezekana ni fix zake tu.
sikatai ila ninayoyasikia kutoka kwenye vinywa vya midomo yao ni mazito na nakuhakikishia ni ngumu sana kudangaya kwa kujibambikia uchafu dada yangu