Haiwezi kuwa hivyo.hiyo punana yako si imeshakuwa lap lap sasa?
mkuu kama ni hivyo piga 100 x 35 = ?Haiwezi kuwa hivyo.
Kutembea na mtu mmoja zaidi ya mara mia, na kutembea mara moja moja na jumla ya watu 35, ni kupi kunafanya iwe lapulapu?
Habari zenu mimi ni mschana wa miaka 23 nimeshatembea na wanaume 35 na kati ya hao niliokuwa na mawasiliano nao ni watatu tu na kati ya hao kuna mmoja ndo ananihudumia nikimwambia kitu ananifanyia ila anaishi na mwanamke, na mwanamke wake ni mjamzito na yeye huyo mwanaume anasema anataka anioe je nifanyeje wakati na wale wawili waliobaki nao wanasema wanataka waniowe na juzi nimekwenda kupima afya yangu nimekutwa sina maambukizi yeyote ukimwi
sasa uhusiano kati ya 23 na 35 ya husu nin?Habari zenu mimi ni mschana wa miaka 23 nimeshatembea na wanaume 35 na kati ya hao niliokuwa na mawasiliano nao ni watatu tu na kati ya hao kuna mmoja ndo ananihudumia nikimwambia kitu ananifanyia ila anaishi na mwanamke, na mwanamke wake ni mjamzito na yeye huyo mwanaume anasema anataka anioe je nifanyeje wakati na wale wawili waliobaki nao wanasema wanataka waniowe na juzi nimekwenda kupima afya yangu nimekutwa sina maambukizi yeyote ukimwi
kwani used haifai?34!!!!!! Sasa kuna kitu kimebaki apo tena?
kwani used haifai?
MMAHE tatizo lako ni nini?So what? huyo mwanamke mmoja ndio utukane wanawake wote? hata mama/dada/shangazi/bibi zako nao ni wa ajabu sio?
Mtuache Tupumue!!!!!
MMAHE tatizo lako ni nini?
Umepewa uke na Muumba wa na kwa kazi gani?
Fikiri mara mbili kabla ya kufikiria kutukanwa au kudhalilishwa!
Achana na mawazo ya mfumo dume;Hivi angekuwa nyamaume itoe idadi hiyo ungejisikiaje?
Naamini wanawake karibia wote (68% according to normal distribution) wangeona sawa tu.
Achani fikra mgando, kazi ya uke ni kupokea uume ili kustarehe achana na kuendeleza kizazi:hiyo ilikuwa zamani za babu na bibi yako;
Siku hizi ni kugegedana tu.
Bazazi ni Bazazi!
kwaio, unamsema dada wa watu screpa? hahahhhahah ametisha bwana mdogoInategemea kwa matumizi gani.... maana hata gari ikishatumika sana haifai kitu zaidi ya scraper... for recycling..
Madame B hawatoi cheti ukipima ,au nikupe na sababu?
unashanga nini Mamndenyi mbona idadi ya kawaida hiyo ,unachezea k wewe? eti iote sagamba kakuambia nani.
lap lap nani kakuambia ,usije ukajikuta umeoa mwenye idadi zaidi ya hiyo
mkuu mbona hiyo idadi ya kawaida sana ,au huongeagi vizuri na hao viumbe wakupatie siri zao?
asakute same naona kana kwamba 35 ni idadi ya kutisha sana, au na ushamba unanisumbua?
Mamndenyi nadhani wewe ni she ,hebu kaa na ma-she wenzako muongee kwa uwazi utakuja kujua mengi.........mimi ni He ila ninauwezo mkubwa sana wa ushawishi kiasi kwamba its easy and simple kwa mwanamke to pass her secrets include dirty ones.
kwakifupi wanawake wanasiri nyingi sana na mambo mengi mno ,kiasi kwamba nikagundua wanaume tunajidaigi wajanjaaaa lakini hamna kitu kabisa tukijilinganisha na wanawake wetu na mambo yao.