iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,142
Habari zenu mimi ni mschana wa miaka 23 nimeshatembea na wanaume 35 na kati ya hao niliokuwa na mawasiliano nao ni watatu tu na kati ya hao kuna mmoja ndo ananihudumia nikimwambia kitu ananifanyia ila anaishi na mwanamke, na mwanamke wake ni mjamzito na yeye huyo mwanaume anasema anataka anioe je nifanyeje wakati na wale wawili waliobaki nao wanasema wanataka waniowe na juzi nimekwenda kupima afya yangu nimekutwa sina maambukizi yeyote ukimwi