Mwanamke SHANGINGI...............

Well I don't refer to any woman as a shangingi, and I don't take my time to ponder about what other people call each other

you cant be out of touch with ur society...
you just need to understand......hivi unajua kuna watu wana define boyfriend ndie buzi....?????
niliona kwenye gazeti wakimzungumzia Chelsea Clinton.....
alipopata boyfriend.gazeti la kibongo limkaandika Chelsea Clinton kapata buzi...
now go figure that....lol
 
Je kila changudoa ni shangingi?
Maana hata wao wanauza na kujipamba
Hapana, sifa "mama" ya shangingi ni umalaya uliokubuu na matukio yote ya uasherati uliopitiliza..
Sasa kunakuwaga na vijitabia vingine vya kusindikiza tu ndio kama hivyo kujipamba bila kujinyima...
 
 

Kwa kuongezea, sauti zao zinakwaruzakwaruza..huwezi kujua ni bass au alto au nini! Hii ni shauri ya kupayuka na kunywa mipombe kutwa na usiku kucha!
 

Na je kuna uhusiano gani na Toyota VX au GX?
 
Shangingi ni kama yale magari, mashangingi, linaweza kukustaresha kwa gharama kubwa. Mlalahoi mashangingi hayawezi.

kwa hiyo mashangingi yana pesa na probably yapo zaidi masaki na mbezi kuliko buguruni na tandika sawa??
 
Je kila changudoa ni shangingi?
Maana hata wao wanauza na kujipamba

Changudoa ( samaki wadogo lakini watamu) ni smaller version ya shangingi.Hawa hawajanona kama mashangingi, hata muonekano wao ni tofauti.Viwanja vyao navyo ni tofauti kwa maana changu mara nyingi hujitembeza barabarani wakati Shangingi hajizururishi mitaa ya Ohio au Kinondoni makaburini.Common denominator yao ni kuchuna mabuzi! Tofauti zao - maumbo, viwanja na hata uwezo wao wa mambo mengi.

 
Kwa kuongezea, sauti zao zinakwaruzakwaruza..huwezi kujua ni bass au alto au nini! Hii ni shauri ya kupayuka na kunywa mipombe kutwa na usiku kucha!

Hahahaaaa! plus wakitembea lazima uimbwe wimbo wa singida, dodoma, singida, dodoma! Dah nimecheka sana jioni hii
 

ni kama vile unasema ndio hao hao but levels tofauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…