LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,765
- 9,914
Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Beneficial.. Asemaga; uyo ni Mimi sasa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app