justuce John
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 206
- 222
- Thread starter
- #21
Wanne, watatu wakiume wakike mmoja ambaye nipacha.Mpaka sasa una watoto wangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanne, watatu wakiume wakike mmoja ambaye nipacha.Mpaka sasa una watoto wangapi?
Kwa hiyo mpaka sasa umezaa na wanawake watatu tofauti ?Una umri wa miaka mingapi?
Sawa Mkuu Hongera Sana,mpaka sasa una watoto wangapi?
Ndio, Nina miaka 27Kwa hiyo mpaka sasa umezaa na wanawake watatu tofauti ?Una umri wa miaka mingapi?

Mkuu watoto wanne ndio umesha conclude kwamba kila ukitembea na mwanamke lazima apate mimba tena mapacha,kwahiyo mapaka sasa umetembea na wanawake 2 mpaka 4,sasa mbona idadi chache sana au umeanza kutembea nao mwaka 2018? Au hao wengine wanatoa hizo mimba?
Mimba zinaingia ki wireless eti mnhhh