Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe

Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe

Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chakufanya kimbia nae mkuu mimba utaiskia redioni
 
Mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba, nahiyo mimba lazima atakuwa mtoto wakiume naka sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, hili jambo limekuwa likiniumiza sana kichwa hadi naogopa kutongoza, naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia condom. Unapiga dry halaf unamwaga ndani. Unategemeaa. Nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimehamia jukwaa hili kutokea jukwaa la siasa na habari mchanganyiko kuepuka msongamano wa habari za kipuuzi na kitoto. Kumbe na huku zipo?
 
Back
Top Bottom